Hii hapa ndio Timu Mpya ya uongozi wa Chadema Kitaifa

Hii hapa ndio Timu Mpya ya uongozi wa Chadema Kitaifa

Hii team sehemu kubwa iliingia kwa kuchafua wengine labda waombe msamaha la sivyo laana itawatafuna.
Hizo laana mbona huwa hazifiki mahali? Kama kuchafuana pande zote walirushiana maneno mwishowe wajumbe wakaamua yupi ana faa
 
SIIPENDI, ALL ARE POWER MONGERS OF THE HIGHEST DEGREE PARTICULARLY, MWENYEKTI......ALIMBAGAZA, ALIMTUKANA, ALIMKEBEHI, ALIMDHALILISHA MBOWE SANA.
Nakuelewa sana mkuu
 
Hawa watu ni Muhimu sana katika harakati za ukombozi wa taifa hili lililofungwa katika minyororo ya mkoloni chama dola, ni miongoni mwa watanzania wachache waliokataa kuwa chawa na kujipendekeza Kwa wakoloni weusi tulio nao, Mungu awabariki katika harakati zao za kulikomboa taifa hili
Mbona mkuu unajipendekeza kwa hao hao
 
CHADEMA nawakubali sn lakini ujinga wenu wa kujiita waheshimiwa kujiinua mbele ya wananchi huwa mnanikwaza sn, maanake mkipewa nchi mtaanza kujiita watukufu, CCM pamoja na upumbavu wao lakini wanaitana ndugu, nyie mnashindwa nini? Ndugu au Kamanda
Hakika hili lizingatiwe kwa kweli, uheshimiwa unachochea ufalme nafikiri! 😄
 
sasa ni zamu ya saa100
Hawezi siasa chafu impe uraisi sahau
Chadema alikuwa na nambs zote za wajimbe wapiga kura akawa anawapigia ba kutuma meseji kumwaga sumu

Na kumwaga sumu kote aliambulia kupata kura za malofa wenzie asilimia 51

Asilimia 49 ya wenye pesa wakamkattaa ambao nyuma yao wana natajiri kibao wanaowaunga mkono

Wakati hao malofa wasio na hela asilimia 51 wagumu kuchangia hata chama wakiamini chama kina pesa kwa nini wachange?

Na Lisu sababu aliendesha kampeni chafu kuwa Chadema ina pesa tatizo mbowe anazila atapata shida mno kuchangisha wanachama

Wengi hata waliochangia gari yake ni wanachama team Mbowe

Sasa athubutu kuitisha mchango wowote Chadema aone mziki wake

Chama chaweza hata vurugika hao malofa waliompa kura watamjia juu kuwa wewe si ulisema chama kins pesa ?

Usitusumbue
 
Tumekoma mkuu, hatutajiita hivyo tena
Tafuteni namna ya kuwaaminisha wananchi kuwa nyie ni tofauti na waheshimiwa. Anzeni na mnavyoitana.
Mheshimiwa au waheshimiwa ni jina lenye laana. Make wengi hawajiheshimu na hawaeshimu wananchi
 
Hii team sehemu kubwa iliingia kwa kuchafua wengine labda waombe msamaha la sivyo laana itawatafuna.
Hilo mbona linawagharimu!!utafkiri hawapo,waliingia vibaya hawakujua wanajitenezea mabaya.Lisu anasema hawajawahi kukosana na Mbowe,sasa hao waliotaka kuwasuluhisha walienda kufanya nini hao viongozi wa dini.Jamaa wamechukua gari wasilojua kuliendesha.
 
Kampeni za uenyekiti zilifanya nimjue mtu Gerva Lyenda, ni ametulia katika kujenga hoja, ni asset chamani!
 
Back
Top Bottom