Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa


Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023.
1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9)
2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola milioni (8.2)
3. Jose Chameleon (Uganda) : Dola milioni (????.
4. Akothee (Kenya) : Dola milioni (7.6)
5. Professor Jay (Tanzania). Dola milioni (7.5).
6. Ali Kiba (Tanzania) : Dola milioni (7.2).
7. Jaguar (Kenya): Dola milioni (7).
8. Harmonize (Tanzania) : Dola milioni (5.9).
9. Sauti Sol (Kenya) : Dola milioni (5.????
10. Bebe Cool (Uganda) : Dola milioni (5.62).
11. Ragga Deer (Uganda) : Dola milioni

NB: nawasilisha kwenu.

66877311_2245802829066029_4811372649832042495_n.jpg
 
Back
Top Bottom