Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ubaya Gani!?Hivi huyu jamaa anaelewa maana ya kufanya hivyo..?
Mambo mengine ni kutafuta watu ubaya tuu
Hivi huyu jamaa anaelewa maana ya kufanya hivyo..?
Mambo mengine ni kutafuta watu ubaya tuu
Unajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?Ubaya Gani!?
Suala la kula rushwa silijui, najua vyombo vyetu vinafanya kazi kwa maadili makubwaIna maana gani kwa hawa askari wenye sifa ya kula rushwa?
Sijui nani!?Unajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?
Vyombo hivyo vinatakiwa vifanye kazi kwa maadili makubwa, hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, lakini uhalisia ni kinyume chake kabisa.Suala la kula rushwa silijui, najua vyombo vyetu vinafanya kazi kwa maadili makubwa
Mwaga kifungu cha sheria tukisomeUnajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?
Mbowe ni kamanda, anatakiwa kupigiwa salute hata na SamiaCommissioned officers, presidential appointees nadhani hao ndo wenye sifa ya kupigiwa salute
Huyo mangi anafit wapi kwenye hizo criteria tajwa hapo juu
Yaani unaona salute ni kitu cha maana sana! Ingekuwa hilo jeshi lina maadili ungeweza kusema hili. Lakini sio kwa matendo yao machafu na kutumika hovyo na viongozi wa kisiasa hasa wa ccm kinyume na sheria. Na ushahidi wa hilo upo wazi.Commissioned officers, presidential appointees nadhani hao ndo wenye sifa ya kupigiwa salute
Huyo mangi anafit wapi kwenye hizo criteria tajwa hapo juu
Unajuaje labda mboye Mmoja waoUnajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?
Nimesikitika sanaUnajuaje labda mboye Mmoja wao
Najua huna ushahidi juu ya suala hili, ila kitendo cha huyo constable kumpigia salute huyo jamaa kinahitaji maelezo marefu sanaYaani unaona salute ni kitu cha maana sana! Ingekuwa hilo jeshi lina maadili ungeweza kusema hili. Lakini sio kwa matendo yao machafu na kutumika hovyo na viongozi wa kisiasa hasa wa ccm kinyume na sheria. Na ushahidi wa hilo upo wazi.
Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru , Amani , furaha na Upendo , kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui .
Kumbe Uhuru , Upendo na Amani vinazalisha Furaha .
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako .
View attachment 2639634