Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo? Kutoka kupigwa mabomu na virungu mpaka kushikana mikono unadhani ni jambo dogo?Basi Chadema hapo mnasikia raha sana aisee
Miiko ya kazi yake inamtaka hivyo...? Au CCP alienda kufanya nini sasaSasa shida ni mwenzako kupewa salute? Umepongukiwa nini sasa?
Hujui.Commissioned officers, presidential appointees nadhani hao ndo wenye sifa ya kupigiwa salute
Huyo mangi anafit wapi kwenye hizo criteria tajwa hapo juu
Raha kupigiwa salute na polisi wa Tanzania, ingekuwa polisi wa US si ungekufa kwa kihoro?Basi Chadema hapo mnasikia raha sana aisee
Hata walati wa kuaga maiti askari huiaga kwa kupiga saluti.Narekebisha neno nadhani limetoka
Hivi bado unavuta bangi?Mbowe ni kamanda, anatakiwa kupigiwa salute hata na Samia
Chadomo ndio mungekufa si unaona mumeweka kuwa habari 😂😂Raha kupigiwa salute na polisi wa Tanzania, ingekuwa polisi wa US si ungekufa kwa kihoro?
Ni kuanzia katibu kata wa ccm hadi chairperson wa ccm,wengine wote ni wakimbizi sio watanzania!!!,pumbavuUnajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?
Hivi Ndivyo Mama Samia anapenda Peace and Harmony.Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
View attachment 2639634
Hiyo PGO ingekuwa inafatwa Tanzania ingekuwa nchi ya Kwanza au ya pili kwa maendeleo.PGO namba 200 imeainisha taratibu za saluti kwa viongozi wa Serikali na taasisi zingine kama ifuatavyo:-
Askari wa vyeo vyote wanatakiwa kupiga saluti kwa Mheshimiwa Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naJaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Viongozi wengine wanaostahili kupigiwa saluti ni pamoja na Wakuu wa Mikoa na Majaji wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Aidha, kuanzia askari mwenye cheo cha Konstebo hadi Mkaguzi wanapaswa kuwapigia saluti Wakuu wa Wilaya na Waheshimiwa Mahakimu wote wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi.
Nani amekaza fuvu sasa 😅😅Hiyo PGO ingekuwa inafatwa Tanzania ingekuwa nchi ya Kwanza au ya pili kwa maendeleo.
Acha kukaza fuvu kwa vitu vidogo.
Mambo makubwa hamyafati.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nani amekaza fuvu sasa [emoji28][emoji28]
Hizi picha zako zinamaanisha nini ?
Kabisa !Enzi zile, huyo afande sahivi angekua tayariiiii
Utakuja dharaulika for such silly comments. Jina lako JF ni kubwa, unatoa nonsense kiasi hiki. Sorry, iumenidemaralise nilivyokuwa nakuchukuliaMbowe ni kamanda, anatakiwa kupigiwa salute hata na Samia
Nimemuuliza chatgpt, majibu yake:Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.