Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Twende hivi hivi.Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru , Amani , furaha na Upendo , kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui .
Kumbe Uhuru , Upendo na Amani vinazalisha Furaha .
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako .
View attachment 2639634
This time serious Political Bussmess