Hii hapa Picha nyingine bora ya Wiki hii, Imepigwa Tabora

Hii hapa Picha nyingine bora ya Wiki hii, Imepigwa Tabora

Utakuja dharaulika for such silly comments. Jina lako JF ni kubwa, unatoa nonsense kiasi hiki. Sorry, iumenidemaralise nilivyokuwa nakuchukulia
Sikujisajili JF kwa ajili ya kuchukua heshima yako au kukufurahisha. Hii ni social network tu wala sio kikao cha Bunge au Senate au maombi ya Mwamposa, so usichukulie kila kitu serious. Utajitia presha unnecessarily
 
Huyo askari alimpigia Saluti mpiga picha hapo!



Kamanda gani anasimama wima wakati akipigiwa Saluti huku akijichekesha?

Nakusimama wima je? ina maana gani?

Wacha ncheke tu.
 
Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.

Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.

Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.

Hivi nyie Nyumbu hamna vitu muhimu vya kupost? Mbona hoja za Tundu Lisu ni muhimu sana kwa sasa? Au mnaogopa huyo mlevi atafunikwa?
 
Ni ushamba tu wa watu kuamini kuwa kuna watu maalum wa kupigiwa salute.
Ni utaratibu uliowekwa kwa kufuata sheria, siyo imani. Ingia bararabani ukiwa na msafara wenye king'ora kisichokuwa cha AMBULANCE uone kama hautakamatwa kwa kukiuka taratibu. Imani na sheria ni vitu viwili tofauti
 
Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.

Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.

Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.

Akili za matope , saluti kwa mbowe ndio amani na demokrasia. Lema akili zako ndogo sana
 
Hapo Mangi wamemmaliza saluti!!!!Atasifia kila kitu awamu hii ya sita amesahau kwamba yupo upinzani
 
Only commissioned officers , warrant officers and the president of United republic of Tanzania hayo mengine Mangi inabidi arudishe salute ya watu
Warrant officers hawapigiwi salute mkuu. Umeteleza hapo. Since they are not Commissioned Officers
 
Ni ushamba tu wa watu kuamini kuwa kuna watu maalum wa kupigiwa salute.

Nikiwa Kenya ndani ya gari yenye registration namba za Tanzania. Askari polisi alinisimamisha, akapiga salute, kisha akaniuliza.

Nikiwa Switzerland, askari polisi alikuja akapiga salute, kisha akaniuliza - English, Germany, French. Nikamjibu, English. Akaniuliza, where are you coming from. Nikamjibu, kisha akaniambia, 'sir, may I see your passport'.

Salute, ndiyo uamkiaji rasmi wa Askari akiwa katika vazi rasmi.
Jamaani labda ulikuwa umevaa uniform za kijeshi na vyeo hivyo vinafahamika kimataifa.
 
Back
Top Bottom