Hii hapa Picha nyingine bora ya Wiki hii, Imepigwa Tabora

Jeshi lenye uadilifu kama la Ulaya.

Huwa nabarikiwa sana napoona Jeshi bora kama hili.

Jeshi linalozuia uharifu na sio chanzo cha Fujo na vurugu.
 
Unajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?
Ni ushamba tu wa watu kuamini kuwa kuna watu maalum wa kupigiwa salute.

Nikiwa Kenya ndani ya gari yenye registration namba za Tanzania. Askari polisi alinisimamisha, akapiga salute, kisha akaniuliza.

Nikiwa Switzerland, askari polisi alikuja akapiga salute, kisha akaniuliza - English, Germany, French. Nikamjibu, English. Akaniuliza, where are you coming from. Nikamjibu, kisha akaniambia, 'sir, may I see your passport'.

Salute, ndiyo uamkiaji rasmi wa Askari akiwa katika vazi rasmi.
 
Polisi iliyostarabika inajua ni i cha kufanya.

Kuna dogo alizamia ndege mwaka 2000 kwenda UK alikamatwa na Polisi Britain uwanja wa ndege dogo anasema hakupigwa kofi wala ngwala. Alikamatwa akawekwa sehemu salama na chakula akala vizuri.

Baadae wakamhoji. Jeshi la British likajiridhisha dogo sio mtu hatari wakampeleka kambi ya wakimbizi wakamsomesha sasa hivi ameajiriwa UK anaingiza Pato la Taifa UK.

Hii ndio jeshi sasa.
 
Naungana na wengine
Askari akivaa gwanda salam yake ni salute hapana shikamoo
Na kujua ivo tungepata na picha tuone DJ alipokeaje kama sio kwa kushukuru kiraia
 
Usimchukulie poa mwenzako kila mda anaitwa ikulu kuongea na Mama,..unajua wanaongea nn?,..je wewe ushawahi nusa hata mlango wa ofisi ya waziri yoyote tz?
Kuna watu akili zao sijui zina nini. Wanamchukulia Mbowe kama Baba yao.
 
Salute ni sawa na neno shikamoo.
Mbowe ni mtu mzima kwa umri na mwenye status yake mwacheni apigiwe saluti akiwa hao sio siku akifa ndio muanze kupiga saluti na kuinama kwenye jeneza lake.
Mpeni maua yake acheni kubana bana hiyo kitu
Mbowe mwenyewe ni Kamanda sasa hapo Mapoti wamekutana shida iko wapi
 
Najua huna ushahidi juu ya suala hili, ila kitendo cha huyo constable kumpigia salute huyo jamaa kinahitaji maelezo marefu sana
Akaendike hata page 1m hakuna mwenye tatizo na hilo. Ushahidi wa jeshi letu kukosa uadilifu wala sio wa kutafuta, upo wazi. Kungekuwa na vyombo huru vya kiuchunguzi na sio huu mfumo wa kulindana, wala ushahidi wake hauchukui hata dakika 10.

Unasema hakuna ushahidi, sio kwakuwa ushahidi wa kutokuwa waadilifu haupo, lakini unajua mfumo wenye uozo wa kulindana ni mkubwa kiasi kwamba ushahidi utatupiliwa mbali. Inshort unajivunia mfumo mbovu wa haki nchini. Na inaonekana ww ni mnufaika wa huu mfumo mbovu. Acha vitisho vya kijinga, salute sio kitu cha maana kama unavyodhani.

Ingekuwa sheria zinafuatwa hivyo, Magufuli asingeweza kupokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi mchana kweupe, wakati jeshi limetengwa kabisa tena kikatiba na mambo ya siasa. Na kila siku tunaona polisi wakishiriki shughuli za CCM na hakuna hatua yoyote wanachukuliwa.
 
Kibarua chake kipa mashakani

By the way yule wa Mandevu Buguruni analizungumziaje hili
 
Achana na huyo corropted monded atakopotezea muda to hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…