OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sikujisajili JF kwa ajili ya kuchukua heshima yako au kukufurahisha. Hii ni social network tu wala sio kikao cha Bunge au Senate au maombi ya Mwamposa, so usichukulie kila kitu serious. Utajitia presha unnecessarilyUtakuja dharaulika for such silly comments. Jina lako JF ni kubwa, unatoa nonsense kiasi hiki. Sorry, iumenidemaralise nilivyokuwa nakuchukulia
Mungu ibariki CHADEMAKitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
Acha Jiwe afilie Kwa mbaliEnzi zile, huyo afande sahivi angekua tayariiiii
Hivi nyie Nyumbu hamna vitu muhimu vya kupost? Mbona hoja za Tundu Lisu ni muhimu sana kwa sasa? Au mnaogopa huyo mlevi atafunikwa?Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
Ustadh Aboubakar MboweKitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
Amen
Acha ulimbukeni.Jeshi lenyewe umeletewa ila utadhani umelianzisha wewe.Wivu wa nini..? Salute..? Nimezipokea, nazipokea, hata kesho asubuhi nitazipokea nyingi tuu
Ni utaratibu uliowekwa kwa kufuata sheria, siyo imani. Ingia bararabani ukiwa na msafara wenye king'ora kisichokuwa cha AMBULANCE uone kama hautakamatwa kwa kukiuka taratibu. Imani na sheria ni vitu viwili tofautiNi ushamba tu wa watu kuamini kuwa kuna watu maalum wa kupigiwa salute.
Ishara ya Imani na roho katika Mambo ya ulimwengu. 😃Hizi picha zako zinamaanisha nini ?
Akili za matope , saluti kwa mbowe ndio amani na demokrasia. Lema akili zako ndogo sanaKitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
Sasa unalia nini ?Akili za matope , saluti kwa mbowe ndio amani na demokrasia. Lema akili zako ndogo sana
Huyo anayepigiwa hayumo kati ya wanaositahili kupigwa. Kwani si commission officer wala mteule wa RaisUnajua wanaotakiwa kupigiwa salute..?
Warrant officers hawapigiwi salute mkuu. Umeteleza hapo. Since they are not Commissioned OfficersOnly commissioned officers , warrant officers and the president of United republic of Tanzania hayo mengine Mangi inabidi arudishe salute ya watu
Jamaani labda ulikuwa umevaa uniform za kijeshi na vyeo hivyo vinafahamika kimataifa.Ni ushamba tu wa watu kuamini kuwa kuna watu maalum wa kupigiwa salute.
Nikiwa Kenya ndani ya gari yenye registration namba za Tanzania. Askari polisi alinisimamisha, akapiga salute, kisha akaniuliza.
Nikiwa Switzerland, askari polisi alikuja akapiga salute, kisha akaniuliza - English, Germany, French. Nikamjibu, English. Akaniuliza, where are you coming from. Nikamjibu, kisha akaniambia, 'sir, may I see your passport'.
Salute, ndiyo uamkiaji rasmi wa Askari akiwa katika vazi rasmi.