Hii hapa Tafsiri ya "Manka" kichagga na tabia zao

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga.

Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa.
Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike.

Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi Machame) yani hata awe na majina 100 lakini bado tu mtu akishajua wewe ni mtoto wa pili wa kike kuzaliwa basi anajua wewe ni Manka.

Dhana isiyo ya kweli
Sio kila mwanamke wa kichaga ni Manka,majina ya kiasili yapo kulingana na uzaliwa wa kuhusika.

TABIA ZA KINA MANKA SASA
Kwanza hapa mtanisamehe dada zangu wazaliwa wa pili wa kike sababu sifa ninazotaja hapa 80% wanazo.

1. Wana mdomo. Hakuna MANKA asiejua kuongea(maneno mengi sana).

2. Micharuko. Ukioa mtoto manka ujipange sana,utulivu kwao mpaka utumie nguvu sana.

3. Ni kawaida kuolewa na kuachika,yani wanaoweza kuvumilia ndoa ni wachache mno.

4. 50% lazma wawe na watoto nyumbani kwanza,(au mtoto wa nje)kuolewa kwao sio ishu sana. Sababu kuu wao wanajijua.

5. Kuchelewa kuolewa kawaida sana. Sababu ya mashauzi,kujikubali kupita kiasi,kijifikiria sana,kuchagua sana,kupenda uhuru mwingi.

6. Roho mbaya,wakaidi sana,wasio sikia. Kama mamake alikuwa anamiliki uchawi basi yeye ndio mrithi.

Wapo wanaobadilika kidoogo saba sababu ya mazingira,elimu na utandawazi,ila sio kwa asilimia mia moja

Utafiti wangu wangu nilioufanya kwa watu wengine nimegundua hao watoto wa pili kuzaliwa sio wa kichaga tu bali karibu jamii yote inafanana tabia. (Katika jamii yako hali ikoje)?

Uchagani mtoto wa kiume ukitaniwa "unakiaje kama manka asee" basi ujue una sifa kama hizo hapo juu

Kama wewe ni mjuzi na upo makini unaweza kumgundua bila hata kujitambulisha.

Karibuni wachambuzi.
 
Pale Kada wa Chama Cha Wanawake Nchini anapo wachokoza Makamanda wa Bavicha! Hivi ujasiri unaupata wapi?

Ngoja waje ili nione utakavyo timua mbio.
Mabavicha waliondoka na dk Slaa!

Hawa wa sasa wa mr belgiji ni wepesi kama pamba! Kiufupi hakuna libavicha lolote litanibabaisha.
 
Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga.

Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa.
Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike.

Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi Machame) yani hata awe na majina 100 lakini bado tu mtu akishajua wewe ni mtoto wa pili wa kike kuzaliwa basi anajua wewe ni Manka.
Dhana isiyo ya kweli
Sio kila mwanamke wa kichaga ni Manka,majina ya kiasili yapo kulingana na uzaliwa wa kuhusika.
TABIA ZA KINA MANKA SASA
Kwanza hapa mtanisamehe dada zangu wazaliwa wa pili wa kike sababu sifa ninazotaja hapa 80% wanazo.
1. Wana mdomo. Hakuna MANKA asiejua kuongea(maneno mengi sana)
2. Micharuko. Ukioa mtoto manka ujipange sana,utulivu kwao mpaka utumie nguvu sana.

3. Ni kawaida kuolewa na kuachika,yani wanaoweza kuvumilia ndoa ni wachache mno.

4. 50% lazma wawe na watoto nyumbani kwanza,(au mtoto wa nje)kuolewa kwao sio ishu sana. Sababu kuu wao wanajijua.

5. Kuchelewa kuolewa kawaida sana. Sababu ya mashauzi,kujikubali kupita kiasi,kijifikiria sana,kuchagua sana,kupenda uhuru mwingi.

6. Roho mbaya,wakaidi sana,wasio sikia. Kama mamake alikuwa anamiliki uchawi basi yeye ndio mrithi.

Wapo wanaobadilika kidoogo saba sababu ya mazingira,elimu na utandawazi,ila sio kwa asilimia mia moja

Utafiti wangu wangu nilioufanya kwa watu wengine nimegundua hao watoto wa pili kuzaliwa sio wa kichaga tu bali karibu jamii yote inafanana tabia. (Katika jamii yako hali ikoje)?

Uchagani mtoto wa kiume ukitaniwa "unakiaje kama manka asee" basi ujue una sifa kama hizo hapo juu

Kama wewe ni mjuzi na upo makini unaweza kumgundua bila hata kujitambulisha.

Karibuni wachambuzi.
Unatulisha matango ya misitu ya kongo...manka ni majina ya watoto wa pili wa kike kuzaliwa iko machame na kibosho,hakuna manka uru,oldmoshi,marangu,rombo
 
Et Rombo mpaka wPi hiyo manka ni Kibosho na Machame bas
 
Mleta thread unakuwaje kama Manka aisee
 
Back
Top Bottom