Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

77" Sony moja living room, 65" LG mbili basement and Morning room.

Samsung 1 65" garage na nyingine 60 guest room.

Toshiba Amazon moja 55" na Vizio moja 60" bedroom na LG nyingine 55" bedroom 2.

All 4K.

Oh, another old Samsung 60" in the basement that I am trying hard to not throw away because it is only 1080p.
 
Napenda Sana Sony Tv hua naona picha inakua nzuri,vp uhalisia wa hili la ubora wa picha ukilinganisha na samsum na Lg?Vp pia kuhusu uimara wake?
Sony wana vitu original sana ila ukitaka bidhaa zake nenda kwenye maduka ya uhakika maana wengi pia wana import kutoka Dubai, sidhani kama sony wana official distributor hapa bongo ndiyo sababu
 
Mkuu unajua vitu vizuri, kati ya hizo zote nani una rate no 1?
 
Hapo unakuta muuzaji ana LG ndo maana anaziponda Samsung na kwa vile bei zake ziko juu ni lazima awaaminishe ili awauzie LG za bei ya chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…