Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Id yako imekuponzaAMVO nch 32 najuuuuuta kuinunua.
Ubahili huu.niliambiwa hisense nchi 32 laki nne na ishirini.amvo laki 3.si nikajichanya.nikachukua amvo na hela nilikuwa nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Id yako imekuponzaAMVO nch 32 najuuuuuta kuinunua.
Ubahili huu.niliambiwa hisense nchi 32 laki nne na ishirini.amvo laki 3.si nikajichanya.nikachukua amvo na hela nilikuwa nayo.
🤣🤣Id yako imekuponza
NANO80 ndio zimeingia mwaka huu bongoKweli boss
Kada wa ccm akauvagaa 😀Mwaka mzima, nilinunua Hisense, nikaitupia uvunguni mpaka nilipomuuzia jamaa mmoja kada wa ccm
Inategemea mkuu, watanzania akiharibikiwa kitu nyumbani kwake anafanya generalisation kisha kila mtu anamweleza hivo muda mwingine unakuta yeye ndiye aliyekosea matumizi, Hisense wana hizo case ila kwa latest series zao hiyo case haipo sana
Friji zao vimeo piaKutoka Hisense ninachokiamini kinafanya kazi vizuri ni washing mashine pekee.
Kioo chake hakivunjiki kirahisi hivo,Mi najipanga mwisho wa mwaka niokote Nanocell maana ule unyana ni balaa quality ya kioo chake ila nikivunja najua sio chini ya laki 5 pale
Ni kweli na ndio maana bei zake zipo chini sanaMafundi wanasema aboder,solarmax na ndugu zao wa kichina kuwa hzo sio flat tv ni majitu tu
Aisee mbona mko nyuma sana? Sababu ni niniNANO80 ndio zimeingia mwaka huu bongo
Unaijua Evvoli android Tv..?!Kila mtu anapenda kumiliki kitu kizuri ila baadhi kipato hakiruhusu, hii imepelekea kuwepo kwa bidhaa za kila aina sokoni ili kubeba pesa yoyote mteja aliyonayo. Kwa upande wa TV zipo kampuni nyingi sana na hapa nazigawa kwenye makundi matatu
1. Samsung LG SONY Panasonic
2. TCL Hisense Haier
3. Alitop Aborder Ailyons Solarmax Skyworth Mr.UK Mewe Boss e.t.c
Kutoka kundi namba moja TV ambazo zimezoeleka sana ni LG na Samsung, tofauti ya hawa wawili LG anakupa picha kali (real 4K) wakati Samsung anakupa picha kali pamoja na frame kali kuliko frame ya LG. LG anakupa durability na kioo chake ni kigumu kupasuka kuliko Samsung.
LG wanakupa series 4 ambazo ni (UHD NANOCELL QNED OLED) Samsung wao wana (UHD QLED OLED)
Bei zake zinapanda kulingana na latest series, kumiliki TV za kundi hili lazima uwe una pesa kulingana na series unayotaka pamoja na inches ngapi unahitaji na ndio TV zenye bei kubwa zaidi sokoni.
Namba mbili tukianza na TCL ni TV nzuri ambayo kama unapenda kitu kizuri na umeshindwa kufika bei ya hapo juu, TCL wanakupa picha nzuri pia inadumu ukiweka ndani ni mkataba.
Tukija kwenye hisense wenyewe wana series za bei ndogo na kubwa, hawa jamaa wana TV nzuri kulingana na bei zao ila quality yake haiwafikii hao wazee hapo juu, pia ndio TV ambazo zinauza sana sokoni kwa sasa kutokana na jina lakini pia bei zao zinaendana na watu wa uchumi wa kati, hawa jamaa baadhi ya series zao zinarudi sana kwa fundi ila ukiotea ni mkataba.
Haier wenyewe wamekuja karibuni kwenye soko la Tanzania na wanafanya vizuri, bei zao zipo chini kidogo ya Hisense, ukikosa pesa ya kununua hisense basi kimbilia hapa kabla hujafika namba tatu kwa wachina wenyewe.
Kundi namba tatu nimeweka kampuni za kichina zilizojaa sokoni, hawa wameamua kumuuliza mteja ana bei gani kisha watengeneze bidhaa, kwa hili kundi TV yenye picha nzuri ni Alitop na Skyworth lakini pia bei zao ni nzuri unaweza kumiliki 43" below 450k price; Aborder wanakupa durability nzuri pia.
Uliza swali lolote kwenye coments kulingana na mada, ukitaka kujua bei weka kampuni gani na inches ngapi, lakini pia series kama haufahamu uliza nitajibu.
Ciao
50 mkuu au kama nitapata pesa ya ziada basi 55Kioo chake hakivunjiki kirahisi hivo,
Unataka kuchukua inches ngapi?
Itakua umekutana na LG za mchinga mchinga sio hizi au Skyworth android TV.Hata siku moja msijidanganye kwenye ulimwengu wa electronics especial TV's kwasasa mkamlinganisha Samsung na hao wengine. LG ni wabovu sana tena kwenye vioo.
Well said!As long as it’s electronics Unahitaji utunzaji mkubwa.
1:hakikisha Una stabilizer or guard for your friji or tv.
2: hakikisha vitu vyako muhimu vyote vimeunganishwa na hizo guards kwaweli vitadumu ndani.
Tofauti kubwa ya tv ni resolution lkn mengine yote ni majina tu na utunzaji wa umeme na hasa umeme unaorejea baada yakukata huu nihatari sn kwakuunguza vitu
Mimi ndo naitumia smart led 32Nilianza Na solar max, sio Siri ziko vizuri
Nitumie huo unyama mwana...hii hisense imenizoea sasa 4 yrs na bado iko poaItakua umekutana na LG za mchinga mchinga sio hizi au Skyworth android TV.View attachment 3119268View attachment 3119270hapa ni Macro Johannesburg View attachment 3119271
Ule mtego hata wewe hauchomoki.Id yako imekuponza