Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hayo matumizi ya pesa kama mimi mzazi nisingetumia kwenye harusi ya bonge nyanya kama hilo!

Muda wowote huyo mwanamke ataveshwa nje ilibidi kwanza aanze na kumnunulia zana za kupiga tizi kuondoa minyama uzembe hiyo iliyokusanyana mwilini.
Kaka ni ngumu huyo dada kucheat
Sio mzungu wala Muafrica sie tusio na maadili au wale wahindi wa hovyo
Ujue wenzetu wahindi wana mila zao za kuheshimu sana wazazi wako na yale malezi ya kizamani ya wazazi ndo kila kitu

Huyo akicheat anauwawa bila hata mjadala na kwao wanaita "honor killings"na serikali wala haifatilii sana

Mfano tu mdogo Amitabh Bacchan msanii alimuoza mwanawe Shweta akiwa na 22 yrs kisa tu Hrithik Roshan nae msanii alikua anamzengea,akamuoza kwa ukoo wa Nanda fastaa
Wenzetu haswaa matajiri na maarufu ukiacha wasanii wako strictly kwenye kulinda hadhi zao mnoo na wanauliwa sana

Huyo Anant ni mgonjwa kashapunguza mwili umerudi tena huoo
 
Mkuu usijudge kwa muonekano wake wa nje, wahindi ndoa zao zinadumu.
Zinadumu mnoo
Yaani kwanza kuachika sasa hv ndo kupo kidogo sheria zimelegezwa na wengi wanaoachika hawa wasomi na wasanii au watu maarufu
Ila watu kina Ambani wanaachanaje sasa sasa kwanza kuachika kwao ni kashfa,aibu na kejeli
 
Hilo ni sahihi kabisa huwa naona ndoa zao zinadumu sana.
 
Back
Top Bottom