Ah jamani si yupo Katavi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah jamani si yupo Katavi au?
Kumbe umesahau alivyo kiguu na njiaAh jamani si yupo Katavi au?
Hivyo mnavyotukimbia tukifuliaKisa nini sasa?
Msituue jamani! Sio kupenda kwetu, ni maisha tu! Unatulia tu unavuta kifaa kipyaaaa.Hivyo mnavyotukimbia tukifulia
Hiyo dhambi haisameheki.Msituue jamani! Sio kupenda kwetu, ni maisha tu! Unatulia tu unavuta kifaa kipyaaaa.
Atasaidiwa sana.Duh jamaa bonge uyo sio powa sasa kwenye mambo yetu sijui inakuwaje
Msikuze mambo jamani😂Hiyo dhambi haisameheki.
Harusi ni tukio la Furaha Sana kwa wanandoa wapya na waalikwa.Baada ya Rihanna na Katy Perry na Pitbull, Justin Bieber alipwa shilingi bilioni 26.4($10 mil ) kutumbuiza katika shamrashamra za harusi ya mtoto wa tajiri namba moja India na bara la Asia kwa ujumla
Bieber tayari ametumbuiza tarehe 5 July hii katika sherehe hiyo ya ndugu wa familia za pande zote na marafiki kujumuika(sangeet), pia mastaa wa Bollywood, Salman Khan, Alia Bhatt na Ranveer sigh nao walitumbuiza.
Ndoa rasmi itafungwa tarehe 12 July hii kisha reception kufanyika tarehe 14 mwezi huu ambapo mabilionea, viongozi wa nchi mbalimali na mastaa wa bollywood wanatarajiwa kuhudhuria
Awali, mwezi March mwaka huu katika uzinduzi wa siku tatu wa sherehe za ndoa/harusi hiyo Rihanna alitumbuiza baada ya kulipwa mabilioni ya shilingi, wageni waalikwa walikuwa zaidi ya 1,000
Kisha mwezi May mwaka huu katika muendelezo wa siku nyingine tatu za kusherehekea harusi hiyo, wageni waalikwa wakiwemo mastaa wa Bollywood walisafirishwa kwa Yatch ya kifahari kutoka nchini Italy kwenda Ufaransa ambapo Katy Perry na Pitbull walitumbuiza mbele ya waalikwa
Pamoja na hayo familia hiyo ya kitajiri ilitenga sherehe maalum ya kulisha chakula watu zaidi ya 51,000 wa hali ya chini inapokea familia ya bilionea husika kiasili
KUHUSU BWANA HARUSI PICHANI
Ana miaka 29, ni mtoto wa mwisho wa bilionea namba moja bara la Asia. bwana harusi huyo ni mhitimu wa chuo kikuu cha Brown nchini Marekani, yupo kwenye bodi ya wakurugenzi katika makampuni mbalimbali ya baba yake, lakini pia bwana harusi huyo yeye mwenyewe tayari pia amewekeza biashara zake binafsi katika sekta ya nishati
KUHUSU BIBI HARUSI PICHANI
Ana miaka 29, ni mhitimu wa chuo kikuu cha New York, Marekani, ni dancer professional aliyefunzwa kwa miaka kadhaa katika sanaa za kihindi, ni mfanyabiashara lakini pia wazazi wake nao ni matajiri waliowekeza kwa kiasi kikubwa katika sekta ya afya. Bibi harusi huyo pia yupo kwenye bodi ya wakurugenzi katika kampuni zinazomilikiwa na wazazi wake
Maharusi hao watarajiwa wanafahamiana muda mrefu, Walichumbiana mwaka jana
Harusi hii itakula pesa nyingi ila pia mwaka 2018 bilionea husika katika harusi ya mwanae wa kike alipoolewa takribani dola milioni $100 zilitumika.
Baba wa bwanaharusi ni Mukesh Ambani ambaye ni bilionea namba moja India na Asia na kidunia anashika nafasi ya tisa kwa utajiri wa dola za Kimarekani billoni $116 alionao.
View attachment 3036850
Hatukuzi ila huwa inatukata sana hiyo ndio maana tunakufa mapema.Msikuze mambo jamani😂
Tuwaombee mema, acha wale jasho lao.Harusi ni tukio la Furaha Sana kwa wanandoa wapya na waalikwa.
Acha wafurahie bhana......pesa zitatafutwa tu.
Tena meseji yenye ushaliPesa....
Huwezi skia wamechangishana ukoo mzima.
Huku TZ kila siku meseji za kukumbushana michango.
Sio ruto na bibie macho kumchuzi si unajua ni vasco dagama wa kikeRuto naskia atahudhuria
Huyu Anant shida sio tu unene ana maradhi mengine pia nadhani ni pumu kama sikosei na dawa anazotumia zinamletea uneneJamaa analindwa na convoy ya hatari ,kwakuwa anapesa sana aende kurekebisha mwili aondoe mafuta kama alivyofanya Mustafa Hasanali miaka ya 2009 ,nimeona jinsi alivyo hata movement tu shida ,apunguze mwili ili aenjoy ndoa.
Hawa watu wana pesa jamani na wanao na kuolewa kwenye pesaKwenu mabilionea wa instagram, mnawaona wenye nazo?
Pesa haitaki kelele!