Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hayo matumizi ya pesa kama mimi mzazi nisingetumia kwenye harusi ya bonge nyanya kama hilo!

Muda wowote huyo mwanamke ataveshwa nje ilibidi kwanza aanze na kumnunulia zana za kupiga tizi kuondoa minyama uzembe hiyo iliyokusanyana mwilini.
Mkuu usijudge kwa muonekano wake wa nje, wahindi ndoa zao zinadumu.
 
Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mtu Tajiri kama yule, kwa uwiano ni sawa na mtu wa kipato cha kawaida kutumia milioni kumi kwenye harusi. Pia Huyo Mukesh ndie mmiliki wa nyumba ya kuishi yenye bei kuliko zote duniani usd 1 billion ( 2.5 trillions)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…