The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Ndugu kwa ndugu sometimes watu baki ila watu baki case ni chache.Ndugu kwa ndugu au watu baki? Maana navyojua huwa wanaishi kifamilia.
Kuna kisa kimoja Kariakoo miaka ya 2006 jamaa alikuwa anamchukua mume anaenda kumpigisha maji na tambuu bar wakiwa beer ya tatu au nne anamuaga anakuja safari kwa mkewe anaenda kumpiga nyama,jamaa alipojua ilibidi mzinzi arudishwe India maana jamaa alikuwa anamtafuta na pistol mkononi ammwage ubongo