Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Ni bora kuamini huyo dada (Isha) anampenda mume wake kuliko kuamini huu uongo ulioandika.

Yani umeweza kufahamu hampendi kwa namna tu huyo dada anavyomwangalia mumewe?

Anand na Isha wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na hakika watakuwa wanapendana.

Pia huyo dada is rich. Hapo huwezi sema amefuata pesa maana hata yeye anazo. She is the daughter of a billionaire.
Kwa uhakika kama wanakujua vile, punguza shobo
 
Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mtu Tajiri kama yule, kwa uwiano ni sawa na mtu wa kipato cha kawaida kutumia milioni kumi kwenye harusi. Pia Huyo Mukesh ndie mmiliki wa nyumba ya kuishi yenye bei kuliko zote duniani usd 1 billion ( 2.5 trillions)
Kwamana Nyumba ya Ambani ni sawa na utajiri wa Mwamed wa Simba?
 
Hana
Baada ya Rihanna na Katy Perry na Pitbull, Justin Bieber alipwa shilingi bilioni 26.4($10 mil ) kutumbuiza katika shamrashamra za harusi ya mtoto wa tajiri namba moja India na bara la Asia kwa ujumla

Bieber tayari ametumbuiza tarehe 5 July hii katika sherehe hiyo ya ndugu wa familia za pande zote na marafiki kujumuika(sangeet), pia mastaa wa Bollywood, Salman Khan, Alia Bhatt na Ranveer sigh nao walitumbuiza.

Ndoa rasmi itafungwa tarehe 12 July hii kisha reception kufanyika tarehe 14 mwezi huu ambapo mabilionea, viongozi wa nchi mbalimali na mastaa wa bollywood wanatarajiwa kuhudhuria

Awali, mwezi March mwaka huu katika uzinduzi wa siku tatu wa sherehe za ndoa/harusi hiyo Rihanna alitumbuiza baada ya kulipwa mabilioni ya shilingi, wageni waalikwa walikuwa zaidi ya 1,000

Kisha mwezi May mwaka huu katika muendelezo wa siku nyingine tatu za kusherehekea harusi hiyo, wageni waalikwa wakiwemo mastaa wa Bollywood walisafirishwa kwa Yatch ya kifahari kutoka nchini Italy kwenda Ufaransa ambapo Katy Perry na Pitbull walitumbuiza mbele ya waalikwa

Pamoja na hayo familia hiyo ya kitajiri ilitenga sherehe maalum ya kulisha chakula watu zaidi ya 51,000 wa hali ya chini inapokea familia ya bilionea husika kiasili

KUHUSU BWANA HARUSI PICHANI

Ana miaka 29, ni mtoto wa mwisho wa bilionea namba moja bara la Asia. bwana harusi huyo ni mhitimu wa chuo kikuu cha Brown nchini Marekani, yupo kwenye bodi ya wakurugenzi katika makampuni mbalimbali ya baba yake, lakini pia bwana harusi huyo yeye mwenyewe tayari pia amewekeza biashara zake binafsi katika sekta ya nishati

KUHUSU BIBI HARUSI PICHANI

Ana miaka 29, ni mhitimu wa chuo kikuu cha New York, Marekani, ni dancer professional aliyefunzwa kwa miaka kadhaa katika sanaa za kihindi, ni mfanyabiashara lakini pia wazazi wake nao ni matajiri waliowekeza kwa kiasi kikubwa katika sekta ya afya. Bibi harusi huyo pia yupo kwenye bodi ya wakurugenzi katika kampuni zinazomilikiwa na wazazi wake

Maharusi hao watarajiwa wanafahamiana muda mrefu, Walichumbiana mwaka jana

Harusi hii itakula pesa nyingi ila pia mwaka 2018 bilionea husika katika harusi ya mwanae wa kike alipoolewa takribani dola milioni $100 zilitumika.

Baba wa bwanaharusi ni Mukesh Ambani ambaye ni bilionea namba moja India na Asia na kidunia anashika nafasi ya tisa kwa utajiri wa dola za Kimarekani billoni $116 alionao.
View attachment 3036850
Six packs ni umasikini
 
Lakini uliwahi kusema mwaka fulani wewe hupendi gobole kama silaha ya kujilinda.

Unapenda zaidi Shotgun, hivyo mambo yasingekuwa mabaya Kwa huyo Rick Ross wa KiHindi 😜
Tatizo sio gobole tatizo ni je inainuka na inakaa muda gani ikiinuka hapo ndo penye utata kwa kumtizama huyu hata inuka yake ni ya tabu sana
 
😅😂 dah wenye miili hiyo ndio kimoko chali?
Hujawahi jiuliza kwanini wanawake wengi wanapenda wanaume wasio na vitambi?. Misuli ya tumbo ina mchango mkubwa kwenye ufanyaji ngono kwa mwanaume.

Ni sawa na kalio kwa mwanamke wakati wa kujifungua. Ni nadra kukuta mwanamke mwenye kalio kupata changamoto ya kujifungua.

Subconcious mind za wanawake zinawafanya wapende wanaumehao sawa na subconcious mind ya wanaume inavyowafanya wapende wanawake hao.

Utakuta mtu anauliza sasa kalio linafaida gani kwenye sex, ni kweli faida ni ndogo ila subconcious ya mwanaume ipo kwenye uwezo wa huyo mwanamke kujifungua uyo mtoto kama ikinasa.

Same kwa wanawake na wanaume wasio na vitambi. Ukichunguza watu wembamba wanapendwa na wanawake wengi na hao wanawake wanaimani kubwa kwao hasa kwenye ngono.
 
Tatizo sio gobole tatizo ni je inainuka na inakaa muda gani ikiinuka hapo ndo penye utata kwa kumtizama huyu hata inuka yake ni ya tabu sana
Hahahaha...................umefanya nikumbuke jambo fulani miaka Kenda iliyopita 😅

Kumbe pamoja na hela za Vocha tunazowapatia, kumbe still Wanawake mnataka kuona Value for Money ya mtoaji wa hiyo hela yenyewe 🙌

Ukiwa unasuasua kunyanyuka, huchelewi kuambiwa Baba Jeni bye bye 😅
 
Back
Top Bottom