Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #41
😂 hata jana nimemchangia acha azitumie tu.Wewe unafikiri mhindi ni maskini? Mamilions anayotupiga kwenye betting siyo pouwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 hata jana nimemchangia acha azitumie tu.Wewe unafikiri mhindi ni maskini? Mamilions anayotupiga kwenye betting siyo pouwaa
Wewe hupendi pesa?Wanawake na pesa [emoji119][emoji119]
Ila hao nao si huwa wanaoana ndugu?
Atake asitakeTutamchapia tu.
napenda zangu sio za mtu, zangu ambazo sina.Wewe hupendi pesa?
Huu ndiyo umebaki kuwa ''utajiri'' wa vijana wengi wa kitanzania. Porn zimewaharibu wengi akili.Judging from his pictures, kimoja chali 😂
hiyo hela ni nyingi sana hiyo 26b anayolipwa justin bieber ni nyingi mno.Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mtu Tajiri kama yule, kwa uwiano ni sawa na mtu wa kipato cha kawaida kutumia milioni kumi kwenye harusi. Pia Huyo Mukesh ndie mmiliki wa nyumba ya kuishi yenye bei kuliko zote duniani usd 1 billion ( 2.5 trillions)
Atakubali?Huyo dada ni pesa kafuata, lakini amshawishi awe kwenye shape, jamaa ana tumbo kama freezer.
Ni vile wanaficha ficha siri tu na wepesi kufa na tie shingoni lakini hao jamaa duniani ndiyo wanaoongoza kwa kugongeanaMkuu usijudge kwa muonekano wake wa nje, wahindi ndoa zao zinadumu.
Zako ambazo huna [emoji1787]napenda zangu sio za mtu, zangu ambazo sina.
Ndugu kwa ndugu au watu baki? Maana navyojua huwa wanaishi kifamilia.Ni vile wanaficha ficha siri tu na wepesi kufa na tie shingoni lakini hao jamaa duniani ndiyo wanaoongoza kwa kugongeana
Ndio za wengine pendeni nyieZako ambazo huna [emoji1787]
Sawa sawa.Ndio za wengine pendeni nyie
Wahindi na waarabu ni jamii inayopenda ufahari sana sana. Hata hadithi nyingi za wafalme na watwana zina chimbuko lake kutoka kwenye hizi jamii. Wana tabia ya kufanya mambo ya kifahari ili waonekane. Halafu wako nyuma sana kwenye kutoa misaada ya maana kwa wengine.Wengine kwa siku tunaishi kwa buku nne, vocha jero, mihogo ya jero asubuhi, mchana tunainama, usiku tunashiba vya kutosha.
Nb.
Mbona mtoto wa tajiri bonge nyanya sana.
Nyingi kwa masikini ila kwa mtu mwenye 116 usd billions, 10usd millions ni ka asilimia kadogo sana yani ni kama vile wewe uwe na utajiri wa 116tzs billions alafu umpe Diamond milioni kumi kuimba kwenye harusihiyo hela ni nyingi sana hiyo 26b anayolipwa justin bieber ni nyingi mno.
Huyo tajiri pesa ipo asee.
Haohao ndio watatumbuiza kwenye harusi ya Nyamwi255 wiki ijayoBaada ya Rihanna na Katy Perry na Pitbull, Justin Bieber alipwa shilingi bilioni 26.4($10 mil ) kutumbuiza katika shamrashamra za harusi ya mtoto wa tajiri namba moja India na bara la Asia kwa ujumla
Bieber tayari ametumbuiza tarehe 5 July hii katika sherehe hiyo ya ndugu wa familia za pande zote na marafiki kujumuika(sangeet), pia mastaa wa Bollywood, Salman Khan, Alia Bhatt na Ranveer sigh nao walitumbuiza.
Ndoa rasmi itafungwa tarehe 12 July hii kisha reception kufanyika tarehe 14 mwezi huu ambapo mabilionea, viongozi wa nchi mbalimali na mastaa wa bollywood wanatarajiwa kuhudhuria
Awali, mwezi March mwaka huu katika uzinduzi wa siku tatu wa sherehe za ndoa/harusi hiyo Rihanna alitumbuiza baada ya kulipwa mabilioni ya shilingi, wageni waalikwa walikuwa zaidi ya 1,000
Kisha mwezi May mwaka huu katika muendelezo wa siku nyingine tatu za kusherehekea harusi hiyo, wageni waalikwa wakiwemo mastaa wa Bollywood walisafirishwa kwa Yatch ya kifahari kutoka nchini Italy kwenda Ufaransa ambapo Katy Perry na Pitbull walitumbuiza mbele ya waalikwa
Pamoja na hayo familia hiyo ya kitajiri ilitenga sherehe maalum ya kulisha chakula watu zaidi ya 51,000 wa hali ya chini inapokea familia ya bilionea husika kiasili
KUHUSU BWANA HARUSI PICHANI
Ana miaka 29, ni mtoto wa mwisho wa bilionea namba moja bara la Asia. bwana harusi huyo ni mhitimu wa chuo kikuu cha Brown nchini Marekani, yupo kwenye bodi ya wakurugenzi katika makampuni mbalimbali ya baba yake, lakini pia bwana harusi huyo yeye mwenyewe tayari pia amewekeza biashara zake binafsi katika sekta ya nishati
KUHUSU BIBI HARUSI PICHANI
Ana miaka 29, ni mhitimu wa chuo kikuu cha New York, Marekani, ni dancer professional aliyefunzwa kwa miaka kadhaa katika sanaa za kihindi, ni mfanyabiashara lakini pia wazazi wake nao ni matajiri waliowekeza kwa kiasi kikubwa katika sekta ya afya. Bibi harusi huyo pia yupo kwenye bodi ya wakurugenzi katika kampuni zinazomilikiwa na wazazi wake
Maharusi hao watarajiwa wanafahamiana muda mrefu, Walichumbiana mwaka jana
Harusi hii itakula pesa nyingi ila pia mwaka 2018 bilionea husika katika harusi ya mwanae wa kike alipoolewa takribani dola milioni $100 zilitumika.
Baba wa bwanaharusi ni Mukesh Ambani ambaye ni bilionea namba moja India na Asia na kidunia anashika nafasi ya tisa kwa utajiri wa dola za Kimarekani billoni $116 alionao.
View attachment 3036850
Kama mobeto alikula chuma kwa lile jamaa lenye tumbo kama mfuko chezea hela wewwHayo matumizi ya pesa kama mimi mzazi nisingetumia kwenye harusi ya bonge nyanya kama hilo!
Muda wowote huyo mwanamke ataveshwa nje ilibidi kwanza aanze na kumnunulia zana za kupiga tizi kuondoa minyama uzembe hiyo iliyokusanyana mwilini.