Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Watu wanatumia pesa zao kujifurahisha wenyewe unasema kufuru.

Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Hii ni kufuru hiyo bajeti hata robo yake tu ingetosha sana kusaidia kaya masikini huko india, ngoja nisipangie matumizi hela za wengine.
 
Back
Top Bottom