Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana.
1.AXE
2.twitter X
3.1Xbet

Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
 
Ngoja wajuzi na wakufunzi waje kukupa miongozo

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
6fd86de2a32864e30a474308487ca14a.jpg
 
Kwa upande wangu haina maana yoyote.

Nijuavyo Malcolm X baadae alipobadili dini akiwa Malik Shabaz. Alizaliwa kama Malcolm Little, na alilidondosha jina la "little" kwa sababu alisema lilikuwa la kitumwa.

Kuhusu bingwa wa sasa Elon Musk alipoulizwa kwanini X? Akajibu siku nyingi niliona kuwa url nzuri. X.


Wengine wainahusisha X na hatari.


Kwa upande wangu haina cha maana zidi ya kuwa ni 'symbol" na herufi tu, na italeta maana zaidi kwa yule anaeitumia kama "symbol".
 
X mean crossing over” to another dimension: a transcendence, transformation, or transmigration
Every letter has its special value, work, and inner mean.
Take care!
 
Ukokosea swali shuleni unawekewa alama ya x. Nyumba zinazokuwa kwenye list ya kubomolewa zinawekewa alama ya x. Ukiachana na girlfriend au boyfriend tayari keshakuwa x wako....kiufupi x haina thamani lkn inashangaza maisha your shuleni kwenye somo la hesabati tunaambiwa tutafute thamani ya X
 
Back
Top Bottom