Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

X Haina maana yoyote na ukitaka kujua tengeneza equation halafu tafuta thamani ya x Kisha weka herufi yoyote iwe B,N,D,S,C n.k uone kama jibu litakuwa tofauti
 
Back
Top Bottom