ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1+1=11 ×Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana.
1.AXE
2.twitter X
3.1Xbet
Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
We were ndo hamna kabisa🤣😂, dah yaani Ume kuja na habari za mapenzi🤣😂Nimemkumbuka X wangu mwa J wa tandale..😉
Lakini wife pia nilimnunulia X 1 anasukuma polepole downtown...☺
Namuona jirani yangu pia amemrudia X....🤣
Waheshimu baba na mama ili upate heri na miaka mingi duniani...🤨😕We were ndo hamna kabisa🤣😂, dah yaani Ume kuja na habari za mapenzi🤣😂
ANdiko lako batili bila pilau xUkiitizama kwa undani ina mambo mengi sana.
1.AXE
2.twitter X
3.1Xbet
Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
Onana sasa umeacha kunitaja basi nami sitoi maarifa yangu
Wazee wanao waza kugegedana😂😀Waheshimu baba na mama ili upate heri na miaka mingi duniani...🤨😕