Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891
Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!.

NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za kisiasa na kibiashara nyuma ya hili saga au hata si kweli kama hawa watu walikuwepo kwa kuwa habari za maruwe ruwe haya, kiliandikwa miaka 200 baada ya kifo cha huyu jamaa?



Toa mawazo na uelewa wako kulingana na mjadala unaoendelea kwenye hii clip, usinilenge mimi. Nimebeba kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom