Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Hivi tunajikutaga tunanya keki...kumbe magimbi...π
π
π
π
π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na jamaa labda alivutiwa nae ila dem nyodo kibao
Hivi tunajikutaga tunanya keki...kumbe magimbi...π π π π π
Huyo wa video ya chini ni wa below 25 kwa unavyodhani?? Mbona ka vile nyani mzee kabisa By the way, kuringa na kujishaua ndo kuongea maneno yasiyo na kichwa..hivi unaweza kunimudu..ndo nini labda??πππKwa binti below 25yrs ni Haki yake kujishaua. Ndio usichana wenyewe huo.
Binti gani haringi bhana.
Ila kukuta limwanamke limeshazeeka alafu linaleta pigo za kisichana hapo lazima aone Mimi mtata
Huyo wa video ya chini ni wa below 25 kwa unavyodhani?? Mbona ka vile nyani mzee kabisa By the way, kuringa na kujishaua ndo kuongea maneno yasiyo na kichwa..hivi unaweza kunimudu..ndo nini labda??πππ
Hii ni kweli kabisa.Kuna Mmoja huku job, kanajionaga kakali sana ,maana washikaji wanakashobokea.
Juzi kwenye kupiga Stori nikawa nakachana makavu na mwisho nikakaonyesha picha ya Mke wangu na watoto wangu.
Kakaufyata Mara ohoooo hizo picha umegugo ,Mara ohoooo vile π€£π€£π€£
Nikakaziaa point, wee huna Kila kitu nachokitaka Kwa mwanamke.hunaaaaaaa!!.
Sahizi kenyewe ndo kanajitongozesha.
Wanawake wanataka wewe uwatake, UKIWADHARAU, WAO NDIO WATAKUTAKA WEWE
Huna tako kisha unaringa. Unaringia nini?πππ...juma amemalizaKuna viclip huko mitandaoni, vijana wakiwakacha watoto wa kike wenye nyodo kwa aibu kubwa.
Kina dada punguzeni dharau, sio kila mwanaume anakutamani.
View attachment 2680953
Hunq unalolijua kuhusu tabia na hulka za watu....na nyie ndo mnaongoza kwa kujiua kwa kujifanya mnaonyesha uanaume wenye msimamo kumbe mna mioyo laini za kidada....hapa ni tit 4 tat...hamna muda wa kubembelezana na mwanamke et kisa nitaonekana mwanamke.......mambo yamebadilika....sasa hiv ma feminists ndo wamejazwa ujinga kwa hyo ni kwenda nao sawa tuNi kweli kila mtu ana tabia tofauti lakini tabia za kiume ni zile zile.
Kama wewe una emotions kama za wanawake kutaka kushindana na wanawake wewe sio mwanaume, ni mwanamke ama shoga.
Bold, Uandishi wako tu unaonyesha wewe ni wa aina gani. Ungekua mwanaume ungekua umenielewa mapema.
Kabisa ni kuwa realMentality za kizamani hizo...mchane live Kila mtu amind bizz zake....kwa hyo yeye ajione yuko sahihi kwa kutoa vipaumbele vya mwanamke anaemtaka...ila Mimi nikizitoa zangu iwe kosa...wake up man...Dunia unakimbila zaid ya supersonic speed..
Hiyo ni inferiority complex ya wanaume wa zamani na wa sasa kama wewe.Huyo dogo wa kiume hana akili.
Mwanaume hupaswi kua na tabia za wanawake, mwanaume we don't tell why. Wanawake ndio wana tabia za kukukataa waziwazi, wanaume hiyo haitakiwi wala hutakiwi kua nayo labisa.
Mwanaume hata kama mwanamke hajakuvutia kiumbile ama hata kwa shoo hutakwi kumwambia wazi kwamba wewe sikupendi ama sikutaki kwa sababu una shape mbaya ama umenipa shoo mbovu, unakaa tu kimia, mute.
Ndio maana huyo binti kamshangaa sana huyo kijana, mwanaume unakataaje mwanamke?
Wanaume halisi kanuni ni moja, we don't tell why lakini pia mwanaume halisi huachi mwanamke, acha mwanamke akuache sio wewe umuache, kama humtaki wewe mute tu, with time atajiondoa mwenyewe.
Wanaume ni kama simba, siku ukikosa nyama utakula majani, majani ndio hao wanawake ambao hawakuvutii ila once in a while unawakamua kutuliza nyege ikiwa hujapata demu anaekuvutia.