Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

hamna mkuu hatuko serious...ila inaonekana tu ulipaka mafuta mdomoni au sijui ulitoka kula[emoji4][emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2] imebidi niangalie picha za kipindi hicho kujiridhisha lakn zote zilikuwa hivyo
 
Mkuu Jaribu kuamka usiku saa nane ufanye Tahajudi hiyo ndo dawa pia jitenge na ngono na uchafu

Binafsi Mimi napotafta Jambo nikalikosa natumia Nguvu za kiroho hasa kuamka saa nane Usiku na kupiga meditation hapo nikimaliza mara nyingi nafanikiwa pia ngono zinaua bahati na future
Elezea vizur hii vijana wajue kuwa mambo ya rohoni yamebeba kila kitu kifanyikacho mwilini. Elezea kwa kuhusianisha mambo ya rohoni na mafanikio
 
 
Mzazi yupo mmoja (mama) huwa mara nyingi ananiambia ni ishu ya muda itapita tu lakini naona imekuwa kwa muda mrefu sasa. Kifupi yeye anaiona kama changamoto ya kawaida sana tofauti na uhalisia ninaoupitia mie
Ndoto unazoota huwa zikoje boss..??
 
Kuna mtu mmoja aliniambia huenda kuna watu wamepiga pini harakati zangu kwa namna ya nguvu za giza ila mzazi wangu ananiambia nisiamini sana hizo kauli
Utajua kua umepigwa pini umri umeshakutupa mkono..changamka..hapo issue it seems like ni nyota
 
Labda haijawa ridhiki yako au unaexpose Sana plan zako kiasi cha kuwafikia watu ambao hawafurahii mafanikio yako

Tho plan za $ mara nyingi zinatakua kuwa exposed zikishatiki .
 
Nimekuwa kwenye hali nisiyoielewa kwa muda mrefu sasa. Yaani kila jambo nilifanyalo likikaribia kufanikiwa linaharibika.

Yaani naweza nikapata ramani ya pesa ila ikifikia hatua ya mwisho kuipata dili linaharibika katika hali isiyoeleweka na hata nilipofikia hatua ya kutumia msemo wa kimfaacho mtu chake kwa kutaka kuuza baadhi ya vitu ninavyomiliki hali inakuwa hivyo mteja akipatikana dakika ya mwisho anaingia mitini.

Kukopa nako unapata uhakika wa mkopo ikifikia hatua ya mwisho mambo yanabadilika. Waungwana naomba msaada wenu wa mawazo nijue wapi nakosea maana imefikia hata kodi ya pango najikuta napitisha na nikipata pesa ni kupunguza deni sio kumaliza.
Rudi katubu ibadani
 
Kuna mtu mmoja aliniambia huenda kuna watu wamepiga pini harakati zangu kwa namna ya nguvu za giza ila mzazi wangu ananiambia nisiamini sana hizo kauli
Ndiyo mkuu hilo nalo kalitazama fanya nguvu za kiimani kuondoa mikosi, amini kuwa wanga wapo na huwa namna za kuwabomoa ni nguvu za kiimani.

Sasa kwa sasa nguvu zao zinaenda kuisha ndiyo maana umewabaini kama upo karibu na ndugu kaa nao mbali kiasi chake.

Mambo yako hakikisha ni siri yako yasiyo wahusu watu usiwaeleze na ukija kufanikiwa iwe ni siri pia.
 
Back
Top Bottom