Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

hamna mkuu hatuko serious...ila inaonekana tu ulipaka mafuta mdomoni au sijui ulitoka kula[emoji4][emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2] imebidi niangalie picha za kipindi hicho kujiridhisha lakn zote zilikuwa hivyo
 
Elezea vizur hii vijana wajue kuwa mambo ya rohoni yamebeba kila kitu kifanyikacho mwilini. Elezea kwa kuhusianisha mambo ya rohoni na mafanikio
 
 
Mzazi yupo mmoja (mama) huwa mara nyingi ananiambia ni ishu ya muda itapita tu lakini naona imekuwa kwa muda mrefu sasa. Kifupi yeye anaiona kama changamoto ya kawaida sana tofauti na uhalisia ninaoupitia mie
Ndoto unazoota huwa zikoje boss..??
 
Kuna mtu mmoja aliniambia huenda kuna watu wamepiga pini harakati zangu kwa namna ya nguvu za giza ila mzazi wangu ananiambia nisiamini sana hizo kauli
Utajua kua umepigwa pini umri umeshakutupa mkono..changamka..hapo issue it seems like ni nyota
 
Labda haijawa ridhiki yako au unaexpose Sana plan zako kiasi cha kuwafikia watu ambao hawafurahii mafanikio yako

Tho plan za $ mara nyingi zinatakua kuwa exposed zikishatiki .
 
Rudi katubu ibadani
 
Kuna mtu mmoja aliniambia huenda kuna watu wamepiga pini harakati zangu kwa namna ya nguvu za giza ila mzazi wangu ananiambia nisiamini sana hizo kauli
Ndiyo mkuu hilo nalo kalitazama fanya nguvu za kiimani kuondoa mikosi, amini kuwa wanga wapo na huwa namna za kuwabomoa ni nguvu za kiimani.

Sasa kwa sasa nguvu zao zinaenda kuisha ndiyo maana umewabaini kama upo karibu na ndugu kaa nao mbali kiasi chake.

Mambo yako hakikisha ni siri yako yasiyo wahusu watu usiwaeleze na ukija kufanikiwa iwe ni siri pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…