Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja.
Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama kusema watu, mbinafsi, mchoyo mbaya zaidi nilijua unanisema na hivyo.
Imepelekea kuamini kuwa nikiwa pekeangu Mara nyingi ndio nikiona na kua katika mambo mengi nikitafakari zaidi na nikiingiliana na watu wengine.
Mda mwingine na choka kukaa na watu, imepelekea toka nimesajili laini 2013 hadi sasa haijawahi kuzidi watu 20 niliowasave kwa simu. Mara nyingi nikimfahamu mtu vizur nikaona anaviashilia vilevile nafuta kila kitu nilichonacho.
Nikiwa primary to secondary 7yr nilizoeana na watu 5 tu
Secondary hawazid 5
Advance hawazid 6
University ndipo nilijikuta naanza kujuta kufahamiana na watu, maana niliona katika kufamihana na watu najipoteza mwenyewe. Unafki mwingi mno Kiufupi.
Na pia sijui kubembeleza uhusiano na mtu.
Na pia Huwa nazoena na mtu Mara moja tu. Nikikuondoa kwenye akili yangu huto kaa turudiane hata iweje.
Sasa najiuliza hili nitatizo au nishikilie huo msimamo niliozaliwa nikajikuta hivyo.
Naomba mtazamo wako.
Kabila mkurya
jinsia male