Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kipi kilikuwa kinamfanya asite?akawa kama anasita
Imeniuma mkuu mwanamke mwenyewe ni kila siku hospital na jambo lenyewe la kijinga ni Banda lipo sabasaba mumewe alikodishiwa na mtu miaka ya nyuma, mumewe akaliuza kwa mtu mwingine!Kisheria ni kosa, sema kwa kua sisi ni banana Republic ndo hivyo tena!
Ni kosa kisheria huwezi kutransfer criminal liability , hakuruhusiwa kumgusa huyo mama, wangemtafuta mtuhumiwa wao, huyo mama anaruhusiwa kumfungulia hata kesi ya udhalilishaji na kudai fidiaHabari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.
Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.
Sawa mkuu yaani imeniuma kwa kweli,kajifungia ndani mama wa watu!wameondoka na mumewe wako sabasaba badala ya kituoni!Ni kosa kisheria huwezi kutransfer criminal liability , hakuruhusiwa kumgusa huyo mama, wangemtafuta mtuhumiwa wao, huyo mama anaruhusiwa kumfungulia hata kesi ya udhalilishaji na kudai fidia
Yaani apigwe mke kwa kosa la mume!Kama ametoka Askari wa kike akampiga then hakuna la kulalamika; Mbona wanaume wanatiwa makofi kila siku? Si 50 kwa 50 au? Wanawake wanaweza? Wanaweza hata kupokea makofi!
Kwa hii akili yako iko siku polisi watakuja kukuchota mitama kwasababu ya kosa alilofanya mtoto wako.Kama ametoka Askari wa kike akampiga then hakuna la kulalamika; Mbona wanaume wanatiwa makofi kila siku? Si 50 kwa 50 au? Wanawake wanaweza? Wanaweza hata kupokea makofi!
Na Wewe wahi mirembe update dozi ya afya ya akili!Mkuu wahi nenda kabla hawajaua mkeo. Acha kuzunguka zunguka.
mkuuKwa hii akili yako iko siku polisi watakuja kukuchota mitama kwasababu ya kosa alilofanya mtoto wako.
Hivi vitendo ni vya kukemea na wahusika wachukuliwe hatua..... Huwezi kuta vitendo kama hivi kwenye any civilized state.
Yaani mambo ya ovyo kabisaHii nchi kama vile polisi wanataka kutupanda vichwani sasa
Inatia hasira sana.hawa polisi wanataka kujiona wao ndo wao yani.majuzi kati tu hapa wamemuua kijana huko simiyu,kwa kufyatua risasi kizembe tu.Yaani mambo ya ovyo kabisa
Si jukumu la mke kuonesha mumewe alipo, kuwa mkewe haina maana kuwa anatakiwa amchunge mumewe.Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.