Hii imekaaje, kosa la mume polisi kumpiga mke ili aonyeshe mumewe alipo?

Km inasaidia kumpata mwalifu wacha wapambane tu

Kuna kipind apa A twn wizi na vibaka walikua weng sana sasa polisi ilitumia mbinu iyo iyo na wizi ulipungua sana kijana akiiba au kupola akakimbia polisi ilikua inashika baba na mama inaweka ndani hii ilisaidia sana
 
Hayajakukuta yasio Haki,ongea tuu!
 
Mimi si Mwanaccm lakini wewe ni mpinzani, ninyi ni wapuuzi ambao mnapinga hata vitu msivyoelewa kwa nini mnavipinga. Wazee wa kudandia stori hata hazijakamilika.
Dada m ona mimi nimemqoute mtoa nasi wewe.. au upo kwenye siku zako?
 
Back
Top Bottom