Hii imekaaje, kosa la mume polisi kumpiga mke ili aonyeshe mumewe alipo?

Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.
Labda ndio hicho wanachokiita kusaidia upelelezi.
Ila polisi wa bongo wanapenda sana matumizi ya nguvu kuliko matumizi ya akili.
 
in 2050, our grand kids will come to realise we were so barbaric and irresponsible to allow this to ever happen to our beautiful country.

Ni bahati mbaya sana, sasa kama wana uwezo hapo ni kosa kisheria na atafute wakili huyo polisi afunguliwe kesi ya kushambulia na kudhuru mwili...

Mke anahusikaje na uhuni wa mumewe... kaz ya polisi ni kumtafuta huyo mtuhumiwa.

Pengine labda waseme alimficha, lakini kupiga mke kwamba hataji mumewe yupo wap, ni kosa.

Lakini zaidi ni recruitment ya Polis wetu au zaid na training, kwani kumhoji mtu na kujua ukweli inahitaji nguvu kweli kwene dunia yasasa? Kweli?

Like, my name is xxx,

we are Police officers from xxx

Your spouse/Husband is accused of xxx,

we would like to have him for such accusations and we dont intend anything bad against him,

We tried to reach him but we couldn''t, and now we want your cooperation to ensure he submit himself to clear this matter asap..

It can be settled and we believe upon mutual agreement this can be resolved...

Kama ana mtoto anambeba kabisa...

Hivyo tu yani.

Sasa ubabe, hasira, nguvu.... maneno makali, vibao, nuksi... wapi na wapi? Mwisho wa siku mtu afe tuanze mapya... guys.... is this tough TO LEARN?
 
Inauma sana
 
Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa jamaa!Na kumtishia kumpeleka kituoni,Ni hapa Kisasa_Dodoma.
Hakuna mtu anatakiwa kuadhibiwa kwa kosa la mtu mwingine..!!! Labda mbwa wako akikosea utaadhibiwa wewe.
 
Back
Top Bottom