Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Vitu unavyovizungumzia ni basic zaidi ila kama una matumizi zaidi ya smartphone kama Gesture control unapoitumia simu, Accelerometer sensor mfano kama Wewe ni mtu wa mazoezi na kujali afya yako, Geo-magnetic , Gyroscope,
Proximity, Barometer, Hall Sensor, UV, Heart Rate Monitoring, SpO2 ..vitu hivi Huawezi kupata kwenye smartphone unazozungumzia...me natumia Samsung note 4 ni Simu ya muda sana lakini inanisaidi kujua blood pressure yangu, kwa siku nimefanya mazoezi kiasi gani nimepumzika kiasi gani, in short inanisaidia kumonitor my health in general, ni mwaka wa 5 Sasa ninayo natumaini tecno zingekuwa zaidi ya 4 zimekufa.
 
Una uhakika tunakuwa na access na vitu vinavyofanana?
 
Div four anasoma mpaka anapata Phd.

Endeleeni kukazana kudiss simu zetu pendwa wakati sisi tukiendelea kuenjoy digital life.
Unaenjoy digital gani na tecno mzee.

Hivi wewe unadhani wewe na tecno yako ambayo 4g yake ipo cat6 utakuwa on the same level na mtu kwenye samsung ambayo ipo Cat21 kwenye kupush mtandao?

Nishakaa na watu tunatumia mtandao mmoja wao wanalalamika network wakati me natumbua...

In short ukiongelea tecno and the likes acha kuongelea mambo ya quality.
 
Mwambie akutafutie tecno iliyotengenezwa kwa ajili ya kuuzwa soko la china.

Maana simu zote za china wanatengeneza makundi mawili yaani kundi la kwanza ni soko la global na la pili ni kwa soko la china.

Ila tecno and the likes hawatengenezi kwa makundi mawili.
 
Hizi simu ni under quality kwa tafiti za nani? Na nani alikwambia hazitumiki zinapotoka? Narudia tena mnao diss hizi simu hamna hoja za msingi zaidi ya kashfa na dharau.
Tecno hazitumiki china.

Unataka ushahidi gani?

Simu za zilizotengenezwa kwa ajili ya soko la china zinafahamika. Hata ukiitumia tu utajua. Ila katika simu hizo tecno haipo.
 
Branding
 
Usifananishe gari na simu afu Kuwa serious mkuu hivi vitu hatuangalii majina bali specifications. Unapoongelea bmw tafuta na gari ya Toyota inayoendana sifa na aina ya bmw weka ushabiki pembeni.
Lete simu ya tecno halafu tuitafutie hata samsung ya kuifananishia.
 
Tecno ninayotumia ina miaka 10 hivi sasa!
 
Yes we umeongea....
 
Tecno n mdhamin wa Man City , kama hazitumik huko kwann wakadhamin club ya huko?
Tecno hazitumiki china kabisa.

Man city wanachohitaji ni hela tu nothing more.

Lete Market share ya tecno ulaya au China kwenyewe. Kinyume cha hapo hakuna kitu unajua.
 
Tecno
Itel
Infinix

Ni upuuzi kama upuuzi mwingine ni sawa na
Div. IV point 28
Div. IV point 32
Div. IV point 34

Ni kuzidiana katika kufeli tu
Tena bora ungebaki kuuliza tu.. hapo ulipojifanya kueleza eti kama kiutaalamu ndipo ulipoonyesha USHAMBA zaidi ukiwakilisha hao wenzako wa tekno na itel.
 
Ubora au uwezo wa simu unapimwa kwa specifications sio mtazamo wako

Porojo nyingi
Taja simu ya tecno yoyote tukuoneshe jinsi ilivyo ya class ya chini ukilinganisha na simu zingine.
 
Ni ujinga kuwa na Passo halafu ukaanza kujiona upo sawa na mtu mwenye BMW.

Hapo ndio watu wa tecno and the likes mnapofeli.

Wewe kumiliki tecno siyo shida. Ila shida huja pale unapoanza kuona simu yako iko sawa na simu zingine kitu ambacho siyo kweli.
 
Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…