version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Vitu unavyovizungumzia ni basic zaidi ila kama una matumizi zaidi ya smartphone kama Gesture control unapoitumia simu, Accelerometer sensor mfano kama Wewe ni mtu wa mazoezi na kujali afya yako, Geo-magnetic , Gyroscope,
Proximity, Barometer, Hall Sensor, UV, Heart Rate Monitoring, SpO2 ..vitu hivi Huawezi kupata kwenye smartphone unazozungumzia...me natumia Samsung note 4 ni Simu ya muda sana lakini inanisaidi kujua blood pressure yangu, kwa siku nimefanya mazoezi kiasi gani nimepumzika kiasi gani, in short inanisaidia kumonitor my health in general, ni mwaka wa 5 Sasa ninayo natumaini tecno zingekuwa zaidi ya 4 zimekufa.