Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kwamba Tanzania na Marekani zote ni nchi sio!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Tanzania na Marekani zote ni nchi sio!!!
Uko sahihi kabisa bro. Watu wengi wana UKIMWI wa Mawazo na kasumba iliyopitiliza.Kimsingi TECNO,ITEL,etc. Walifanya utafiti wa Mazingira ya Africa na zinafaa kwa Watu wanaotambua hilo. Wengi wanadanganyika kuhusu bei kumbe issue ni brand tu na gharama za uzalishaji lakini performance etc the same.Kivipi unafananisha basi na simu? Na kama class ndo inakufanya utumie simu fulani bila kuangalia specifications ni wazi unahitaji ukombozi wa kifikra.
Unataka kusema mwenye itel naye anaingia app store kama kawaida?Unakuna pale unapoweza.
Kumekuwapo na imani kuwa watumiaji wa simu wa makampuni ya Tecno na Itel ni watu washamba na wasio na uwezo kifedha. Kiukweli katika mtizamo wa kutokuwa na uwezo kifedha naweza kuunga mkono lakini katika kuwa washamba ni jambo lisilo na ukweli.
Hivi inakuwaje mtu una akili zako timamu kabisa unaanza kumdiss mtu anayetumia Tecno au Itel wakati wote.
1. Mna access ya internet
2. Mnaweza pata kile mtakacho kama apps, muziki, videos na movies
3. Mna Ram na storage zinazofanana.
4. Camera yenye quality
5. Tunapost, tunacomment, tunashare na kulike.
Yawezekana utofauti upo kati ya makampuni aya na mengine lakini sio utofauti ule wa kuanza kukejeli na kudharau hizi simu.
Na kama ushamba ni yule anayemiliki simu ya gharama kubwa wakati angeweza kuwa na simu ya gharama nafuu lakini yenye performance kubwa.
Je simu ya gharama kubwa inayotumika kusikiliza muziki na kufuatilia maisha ya wasanii inaweza kulingana na simu ya gharama ndogo inayotumika kujisomea na kwenye biashara?
From northern part of Tanzania.
Huu uzi ni mahususi kwa sisi masikini kujifariji, sizitaki mbichi hizi...ila tungekuwa na kipato cha kutosha wengi wetu tungenunua hizo Samsung na iphone pro max[emoji205]
Hapana.Usiongee hivyo Baba N. Mchina ana uwezo mkubwa wa kutengeneza vitu vyenye quality ila kwa utafiti wake amelenga masoko ya watu maskini na amefanikiwa kwa hilo. Hivyo kwa sasa hata kapuku unaweza kumiliki pikipiki au smartphone hayo ni maendeleo japo baadhi yetu tumetawaliwa na kasumba ya 🤷♂️ - wakati wote tunataka tupate sisi wengine wasipate. Mbaya hiyo.............Ukweli utabaki pale pale
Africa ni jalala la mchina...
Ma-pikipiki
Ma-simu
Ma- nguo
Nk
Mimi Tecno yangu ina macho manne hizo 13 pro zina macho matatu hawaniwezi kwenye upande wa camera🤣Chukua tekno nunua cover lá 13 pro visha
Ujue bana huwa kuna nyuzi ukiziona tu zinashawishi kusoma neno kwa neno. 😂😂Umefuata nn huku
Ndo kama hivi wewe unainjoi lakini huku unalalama kuwa unadharauliwa... Hapo ulipo ukiidharau inayoheshimika hata wewe mwenyewe utajidharau... NDO TAABU UNAYOIPATA.. UKAVAE MAGUNIA SASA NA MAGOME YA MITI MAANA YOTE YANAFICHA UTUPUDiv four anasoma mpaka anapata Phd.
Endeleeni kukazana kudiss simu zetu pendwa wakati sisi tukiendelea kuenjoy digital life.
Yna2 kachome nywele kwa mkaa na mafuta ya nazi kama zamani, maana huna wivu..Wivu tu..achana nao
Ni ujinga ujinga mtupuPunguza jazba boss ukweri upo wazi wazi was huhitaji ku jibu kwa jazba namna hii
Halafu unakuta jinga kama hili linakaa kwa shemeji.Tecno
Itel
Infinix
Ni upuuzi kama upuuzi mwingine ni sawa na
Div. IV point 28
Div. IV point 32
Div. IV point 34
Ni kuzidiana katika kufeli tu
😂😂😂😂😂Mimi Tecno yangu ina macho manne hizo 13 pro zina macho matatu hawaniwezi kwenye upande wa camera🤣
Hufikiri sawasawa, nadhani tatizo ni umri wa baadhi ya watu humu na majukumu yao.Huu uzi ni mahususi kwa sisi masikini kujifariji, sizitaki mbichi hizi...ila tungekuwa na kipato cha kutosha wengi wetu tungenunua hizo Samsung na iphone pro max[emoji205]
Kwani zinatumia operating system gani? Siyo Android?Unataka kusema mwenye itel naye anaingia app store kama kawaida?
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu. Mbona maisha simpleKwani zinatumia operating system gani? Siyo Android?
Unanipa pole ya nini? Sijakuelewa.[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu. Mbona maisha simple
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app