Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wewe uliye na simu bei kubwa huwa hupokei simu upigiwazo na itel & tecno?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi akili za wapi?Wewe uliye na simu bei kubwa huwa hupokei simu upigiwazo na itel & tecno?
HongeraMe napenda mabwawa
Hadi nimekumbuka vichekesho vya waKenya!Haya mambo ni hulka. Kuna watu, wengi tu wana uwezo wa kumiliki simu kali lakini wanatumia simu za kawaida sana. Na mwingine yuko radhi amiliki simu yenye thamani ya mishahara yake mitatu.
Binafsi hapa namiliki Infinix! Miaka miwili sasa. Naweza kufanya kazi za ofisi, kupiga na kupokea simu, kutuma sms na ina whatsapp. Na kwa vile maisha yangu napeleka nnavyotaka mwenyewe na serikali yangu. Hainisumbui kuitoa popote pale.
Nikienda kwa wakala au benki hawaniulizi unatumia simu gani? Ilimradi salio liwepo.
Asanteeee nifikirie basi jmnHongera
Wivu tuu unakusumbua wewe mkaanga sumu🥴🥴Ukweli utabaki pale pale
Africa ni jalala la mchina...
Ma-pikipiki
Ma-simu
Ma- nguo
Nk
Kwan uliskia nagawa ovyoo?Asanteeee nifikirie basi jmn
Uzuri mmoja simu mm nafanyanyie biasharaMkuu
Regardless ya ulichosema
Huwezi fananisha Chinese au Japanese na German Engineering....
Superiority ipo,huwezi fananisha mashine inayotumia chip ya snapdragon na hiyo ya chip maandazi....mtafikia jawabu ila utaona tecno atakavyosumbuka.
Punguza ubishi,na acha kujifariji na Itel.
Hivi ni ujeuri wa fedha? Sidhani, nadhani ni mapenzi tu, binafsi niliambiwa kuwa samsung na teckno zote zina uwezo sawa, ila tofauti ya bei ni laki mbili, yaani samsung iko juu kwa laki mbili, nikaopt Samsung.. Sijawahi kutumia teckno, ila sizipendi tu..Ni ufahari tu kuonesha jeuri ya fedha, na kudharau simu zinazotumiwa na wengi zikiwa kwenye matoleo madogo na makubwa
Nina uhakika haujasoma kilicho andikwaKumbe tupo tunashindana umaarufu wa simu kwendana na muhusika anaonaje yeye binafsi,basi sawa
Tukubali kutokukubaliana
Kila mtu afate late
Kwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?Uzuri mmoja simu mm nafanyanyie biashara
Instagram na Facebook
So ma App kwaajili ya graphics yamejaa humu , na kila siku n kaz nayofanya,
Miaka ya nyuma it's true kulikua na utofaut mkubwa tu , ila leo hii, picha au video iliyochukuliwa na infinix latest na picha au video iliyochukulia na samsung latest, huwez zitofautisha n kitu kile kile , zaman mchina ilikua ina chemsha , mara izime yenyewe, ukijaza ma file kidogo tu linaanza ku kukwama, au inachelewa ku respond.. hivyo vitu havipo siku hz
Kitu pekee ambacho iPhone yuko above everyone sokon kwa sasa n uwezo wa simu ku neglect ile mitetemo ya mkono , ukichukua video imetulia mno , hiyo bado haipo kwenye simu nyingine hiz ila n swala la muda tu itakuwepo
Hizo simu za uwezo huo unaziona tu kama uchi wa mtoto, huna uwezo wa kuimilikKwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?
Kwanza nimeenda mbali. Hakuna Simu ya Tecno inarecord 4k at 60fps.
Imagine katika simu zote za tecno zilizopo sokoni simu yenye OIS kwenye camera ipo moja tu.
Unaongelea habari ya mwaka 2012 mwaka 2021Nimetumia tecno na Itel ufala wa hizi cm kushika Moto haraka na kujizima ila Itel nilikua naipendea inakaa angalau na chaji