Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Utofauti lazma uwepo ingawa wote mtapata huduma mnazozihitaji...ni sawa na kutumia pikpk aina ya SNLG na mwngne HONDA
 
Haya mambo ni hulka. Kuna watu, wengi tu wana uwezo wa kumiliki simu kali lakini wanatumia simu za kawaida sana. Na mwingine yuko radhi amiliki simu yenye thamani ya mishahara yake mitatu.

Binafsi hapa namiliki Infinix! Miaka miwili sasa. Naweza kufanya kazi za ofisi, kupiga na kupokea simu, kutuma sms na ina whatsapp. Na kwa vile maisha yangu napeleka nnavyotaka mwenyewe na serikali yangu. Hainisumbui kuitoa popote pale.

Nikienda kwa wakala au benki hawaniulizi unatumia simu gani? Ilimradi salio liwepo.
Hadi nimekumbuka vichekesho vya waKenya!

Ukiingia You Tube na kuandika M pesa lady ndiyo utaona vituko vinavyofanana na simulizi lako.
 
Mtu Kama unahela kanunue iPhone hata Kama ni iPhone 6. TECNO unaizima yenyewe kwa busara zake inajiwasha. Unazima data kusevu bando, yenyewe tu inawasha data.
Ni umaskini tu lkn TECNO itel sio simu.
 
Mkuu

Regardless ya ulichosema

Huwezi fananisha Chinese au Japanese na German Engineering....

Superiority ipo,huwezi fananisha mashine inayotumia chip ya snapdragon na hiyo ya chip maandazi....mtafikia jawabu ila utaona tecno atakavyosumbuka.

Punguza ubishi,na acha kujifariji na Itel.
Uzuri mmoja simu mm nafanyanyie biashara

Instagram na Facebook

So ma App kwaajili ya graphics yamejaa humu , na kila siku n kaz nayofanya,

Miaka ya nyuma it's true kulikua na utofaut mkubwa tu , ila leo hii, picha au video iliyochukuliwa na infinix latest na picha au video iliyochukulia na samsung latest, huwez zitofautisha n kitu kile kile , zaman mchina ilikua ina chemsha , mara izime yenyewe, ukijaza ma file kidogo tu linaanza ku kukwama, au inachelewa ku respond.. hivyo vitu havipo siku hz

Kitu pekee ambacho iPhone yuko above everyone sokon kwa sasa n uwezo wa simu ku neglect ile mitetemo ya mkono , ukichukua video imetulia mno , hiyo bado haipo kwenye simu nyingine hiz ila n swala la muda tu itakuwepo
 
Ni ufahari tu kuonesha jeuri ya fedha, na kudharau simu zinazotumiwa na wengi zikiwa kwenye matoleo madogo na makubwa
Hivi ni ujeuri wa fedha? Sidhani, nadhani ni mapenzi tu, binafsi niliambiwa kuwa samsung na teckno zote zina uwezo sawa, ila tofauti ya bei ni laki mbili, yaani samsung iko juu kwa laki mbili, nikaopt Samsung.. Sijawahi kutumia teckno, ila sizipendi tu..
 
Tekno au itel kuna saa ukimpigia mtu kosa iseme namba unayopiga kwa sasa haipatikani unaweza kukuta inakuuliza unampigia nani
 
Maji ya Kilimanjaro vs uhai , masafi
Yote ni maji ila tuwe wakweli kuna heshima kwenye Kilimanjaro
 
Watumiaji wa tecno,infinix,itel always wana midomo mikubwa na makelele mengi kama spika za simu zao.
 
Uzuri mmoja simu mm nafanyanyie biashara

Instagram na Facebook

So ma App kwaajili ya graphics yamejaa humu , na kila siku n kaz nayofanya,

Miaka ya nyuma it's true kulikua na utofaut mkubwa tu , ila leo hii, picha au video iliyochukuliwa na infinix latest na picha au video iliyochukulia na samsung latest, huwez zitofautisha n kitu kile kile , zaman mchina ilikua ina chemsha , mara izime yenyewe, ukijaza ma file kidogo tu linaanza ku kukwama, au inachelewa ku respond.. hivyo vitu havipo siku hz

Kitu pekee ambacho iPhone yuko above everyone sokon kwa sasa n uwezo wa simu ku neglect ile mitetemo ya mkono , ukichukua video imetulia mno , hiyo bado haipo kwenye simu nyingine hiz ila n swala la muda tu itakuwepo
Kwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?

Kwanza nimeenda mbali. Hakuna Simu ya Tecno inarecord 4k at 60fps.

Imagine katika simu zote za tecno zilizopo sokoni simu yenye OIS kwenye camera ipo moja tu.
 
Watumiaji wa tecno and the likes wana midomo kama Chuchunge
 
Nimetumia tecno na Itel ufala wa hizi cm kushika Moto haraka na kujizima ila Itel nilikua naipendea inakaa angalau na chaji
 
Kwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?

Kwanza nimeenda mbali. Hakuna Simu ya Tecno inarecord 4k at 60fps.

Imagine katika simu zote za tecno zilizopo sokoni simu yenye OIS kwenye camera ipo moja tu.
Hizo simu za uwezo huo unaziona tu kama uchi wa mtoto, huna uwezo wa kuimilik

Swala la pili ni Toleo moja tu la samsung sijui hizo S21 Samsung

iPhone n kuanzia iPhone 12 .. kimsingi nao n toleo moja hili la sasa la pili

Nayo unaiona kama uchi wa mtoto tu
 
Back
Top Bottom