Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

Interested Observer

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2006
Posts
3,384
Reaction score
4,428
Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili?

Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo?

China’s political party school in Africa takes first students from 6 countries
  • 120 cadres from ruling parties attend workshop at the US$40 million facility in Tanzania funded by the Chinese Communist Party
  • All of the political entities taking part have ruled their countries without interruption since independence
Future leaders from ruling political parties in Tanzania, South Africa, Mozambique, Zimbabwe, Namibia and Angola have attended their first session at a training school funded with US$40 million support from China’s Communist Party.

Construction of the Mwalimu Julius Nyerere Leadership School in Kibaha, 40km (25 miles) outside Dar es Salaam in Tanzania, was financed by the six ruling parties of the southern African countries.

The additional support came from the ruling party in Beijing through its International Liaison Department, the bureaucracy in charge of promoting Chinese ideology overseas and inter-party diplomacy.
 
Demokrasia ipi unayoizungumzia inaenda kufa? Ni hii ya kutambua haki za mashoga? Ni hii isiyo na mipaka na inayoingilia Uhuru wa watu? Tumrudie Mungu kwa toba na sala na ikiwa mfumo mpya utaanzishwa ni heri
 
Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili...
CCM wamejengewa kama hicho na hao hao wavimba macho kiko Kibaha kwa Mfipa off Morogoro road.. Yaani ni lami mpaka hapo chuoni mwendo wa kilometers 4 hivi na mataa ya solar
 
Haujaelewa ndio chuo hichohicho cha kibaha kimepokea wanafunzi awamu ya kwanza 120 kutoka nchi za Tanzania, Zimbabwe, Angola, Afrika kusini na Msumbiji na gharama za mafunzo hayo ni dola milioni 40 ambazo zimetolewa na china na wakaeleza kua chuo hicho kilijengwa na vyama tawala hasa nchi za SADEC na support kubwa ilitoka CPC , communist party of china.
 
support kubwa ilitoka CPC , communist party of china.!!!
Fungua ubongo wako wewe, usilemazwe na mahaba! Unaijua misheni ya china Africa? Kihurumie kizazi chako kijacho
 
CCM wamejengewa kama hicho na hao hao wavimba macho kiko Kibaha kwa Mfipa off Morogoro road.. Yaani ni lami mpaka hapo chuoni mwendo wa kilometers 4 hivi na mataa ya solar
Kwani Kibaha bipo vyuo vingapi vilivyojengwa na wachina? Isiwe mnazungumzia chuo hichohicho kimoja.
 
Wangetoa mafunzo (workshop) ya Uhandisi, Udaktari bingwa, biashara au mafunzo mengine ya kitaaluma wangetusaidia sana.

Hayo mafuunzo ya kiitikadi ni ya kutafuta ushawishi wa kisiasa tu kwa manufaa yao wenyewe hatuna haja nayo.
Perfect
 
Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili?

Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo?

China’s political party school in Africa takes first students from 6 countries
  • 120 cadres from ruling parties attend workshop at the US$40 million facility in Tanzania funded by the Chinese Communist Party
  • All of the political entities taking part have ruled their countries without interruption since independence
Future leaders from ruling political parties in Tanzania, South Africa, Mozambique, Zimbabwe, Namibia and Angola have attended their first session at a training school funded with US$40 million support from China’s Communist Party.

Construction of the Mwalimu Julius Nyerere Leadership School in Kibaha, 40km (25 miles) outside Dar es Salaam in Tanzania, was financed by the six ruling parties of the southern African countries.

The additional support came from the ruling party in Beijing through its International Liaison Department, the bureaucracy in charge of promoting Chinese ideology overseas and inter-party diplomacy.
Waafrika tumekuwa wajanja sana sasa hivi.Hawatupati kabisa.Watajenga na hatimae tutageuza majengo yao masoko.Hatutaki demokrasia wala ukomunist.
 
Back
Top Bottom