Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

CCM wamejengewa kama hicho na hao hao wavimba macho kiko Kibaha kwa Mfipa off Morogoro road.. Yaani ni lami mpaka hapo chuoni mwendo wa kilometers 4 hivi na mataa ya solar
Mkuu Ni kule ambapo Kuna Kijiji Cha garagaza?
 
CCM wamejengewa kama hicho na hao hao wavimba macho kiko Kibaha kwa Mfipa off Morogoro road.. Yaani ni lami mpaka hapo chuoni mwendo wa kilometers 4 hivi na mataa ya solar
Wavimba macho wananufaika na utawala wa ccm.
Walizuga wanajenga reli ya Tazara bure kumbe walipata ramani ya mali kale na mchoro wa madini nchini wakalamba madini ya kutosha na malikale tele za mjerumani. Mzee wangu alikuwa bandarini, wavimba macho wakitoka bara wamebeba masanduku makubwa Sana ya mbao uruhusiwi kukagua Kazi huna yamejaa mali wanapakia kwenye meli yanaenda China. USA alipogundua siri nae akajenga bomba la mafuta kwa kutumia kampuni ya Italy kama msaada sambamba na reli ya Mchina. Kuna maeneo hawa wezi walitwangana kugombea mali Yale maeneo reli na bomba yanakutana.
Wavimba macho hawana urafiki usiowafaidisha wao.
Ramani ya mali ilipatikana baada ya mjerumani kupigwa na Muingereza vita vya pili vya dunia
 
ukomunisti na ujamaa ni upumbavu wa kiwango cha juu!

. huwezi kufundisha watu maskini kugawana umaskini walionao badala ya kuwafundisha kuwekeza (capitalism).
Lengo kuu la ujamaa ni kuwatawala watu kifikra na sio kuwakomboa kiuchumi.
Mfumo wa ujamaa ni maarufu kuwa na pesa kuzidi anaekutawala.
Ujamaa ni mfumo wa kumtawala mtu na sio mfumo wa kumuongoza mtu.
Mara elf 2000 ni bora mfumo wa kiislamu kuliko mfumo wa kijamaa kuongezea nchi. Mfumo wa kiislamu ni mfumo wa haki na kuondoa dhuluma kwenye Jamii kwa maana kodi na raslimali za wananchi zinakuwa kwenye mikono salama.
 
Mkomonisti anatumia v8
Anaishi kianasa...tusidanganyane
Mkomonisti Ana miliki nyumba 10 etc

Ova
 
Wangetoa mafunzo (workshop) ya Uhandisi, Udaktari bingwa, biashara au mafunzo mengine ya kitaaluma wangetusaidia sana.

Hayo mafuunzo ya kiitikadi ni ya kutafuta ushawishi wa kisiasa tu kwa manufaa yao wenyewe hatuna haja nayo.
Zamani ilikua inform ya Scholarships ila sasa wameadvance na Yanalenga kutugawanya, pasipo na umoja tunapigwa huku wengine tunaowaamini wakitetea upigaji.
 
ukomunisti na ujamaa ni upumbavu wa kiwango cha juu!

. huwezi kufundisha watu maskini kugawana umaskini walionao badala ya kuwafundisha kuwekeza (capitalism).
Nyerere ameturudisha sana nyuma na sera zake za ujamaa.
 
Back
Top Bottom