Mkuu Ni kule ambapo Kuna Kijiji Cha garagaza?CCM wamejengewa kama hicho na hao hao wavimba macho kiko Kibaha kwa Mfipa off Morogoro road.. Yaani ni lami mpaka hapo chuoni mwendo wa kilometers 4 hivi na mataa ya solar
Ni mitaa hiyo ndioMkuu Ni kule ambapo Kuna Kijiji Cha garagaza?
ukomunisti na ujamaa ni upumbavu wa kiwango cha juu!Ukomunisti = umasikini + upumbavu
Wavimba macho wananufaika na utawala wa ccm.CCM wamejengewa kama hicho na hao hao wavimba macho kiko Kibaha kwa Mfipa off Morogoro road.. Yaani ni lami mpaka hapo chuoni mwendo wa kilometers 4 hivi na mataa ya solar
Lengo kuu la ujamaa ni kuwatawala watu kifikra na sio kuwakomboa kiuchumi.ukomunisti na ujamaa ni upumbavu wa kiwango cha juu!
. huwezi kufundisha watu maskini kugawana umaskini walionao badala ya kuwafundisha kuwekeza (capitalism).
Zamani ilikua inform ya Scholarships ila sasa wameadvance na Yanalenga kutugawanya, pasipo na umoja tunapigwa huku wengine tunaowaamini wakitetea upigaji.Wangetoa mafunzo (workshop) ya Uhandisi, Udaktari bingwa, biashara au mafunzo mengine ya kitaaluma wangetusaidia sana.
Hayo mafuunzo ya kiitikadi ni ya kutafuta ushawishi wa kisiasa tu kwa manufaa yao wenyewe hatuna haja nayo.
Thank Kuna kieneo changu kule kitakuwa kimepanda panda dhamaniNi mitaa hiyo ndio
Nyerere ameturudisha sana nyuma na sera zake za ujamaa.ukomunisti na ujamaa ni upumbavu wa kiwango cha juu!
. huwezi kufundisha watu maskini kugawana umaskini walionao badala ya kuwafundisha kuwekeza (capitalism).