Hii imekaaje kusumbua wanaotumia barabara kisa kutengeneza content

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Samahanini wakuu kwa usumbufu.

Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.

Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?

Hivi taifa litakuaje baadae ?

Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,

Shubamiti.
 
View attachment 2739535
Nchi hii tulikosea zamani sana tulipoamua kufumbia macho utawala wa sheria kwa kuoneana haya na aibu kuanzia ngazi za juu hadi huku chini. Huyo hana tofauti waliofanya ubadhilifu wa fedha za serikali na kubadilishiwa vyeo, na wauza magazeti na bidhaa zingine wanaotembeza katikati ya hizo barabara, na waliojenga vibanda vya biashara sehemu zisizostahili na kuziba njia za watembea kwa mguu au biashara zingine maana kama yeye, wote hao wanajitafutia mkate wao wa kila siku.

Usimlaumu yeye, angalia msingi wetu ukoje.
 
Samahanini wakuu kwa usumbufu.

Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.

Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?

Hivi taifa litakuaje baadae ?

Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,

Shubamiti.
View attachment 2739535
Usikute ana roga hapo ,nyie mnaona anaigiza
 
Hapana, huyu jamaa ni kichaa wa siku nyingi, kwao ni Dodoma Mihuji nje kidogo ya mji na aliwahi kukaa Mirembe hospitali kwa muda wa miaka 3 na alipopata nafuu akatoka na akarudi kijijini kwao Kibaigwa.
Hapo ni sehemu ya ukiaa wake au maigizo?
 
Samahanini wakuu kwa usumbufu.

Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.

Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?

Hivi taifa litakuaje baadae ?

Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,

Shubamiti.
View attachment 2739535
Umedownload Tiktok?
 
Trafiki police hawapo kila kwenye zebra mkuu, maana umeandika kama vile trafiki police walikwepo hapo kwenye hilo tukio
 
Huyo huku Arusha ilikuwa madereva tunashuka tunamcharaza bakora zakutosha. Shida Dar mmezidi upole.
 
Back
Top Bottom