Hii imekaaje kusumbua wanaotumia barabara kisa kutengeneza content

Hii imekaaje kusumbua wanaotumia barabara kisa kutengeneza content

Samahanini wakuu kwa usumbufu.

Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.

Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?

Hivi taifa litakuaje baadae ?

Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,

Shubamiti.
View attachment 2739535
Labda mganga wao kawaelekeza hayo
 
Back
Top Bottom