Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Nchi hii tulikosea zamani sana tulipoamua kufumbia macho utawala wa sheria kwa kuoneana haya na aibu kuanzia ngazi za juu hadi huku chini. Huyo hana tofauti waliofanya ubadhilifu wa fedha za serikali na kubadilishiwa vyeo, na wauza magazeti na bidhaa zingine wanaotembeza katikati ya hizo barabara, na waliojenga vibanda vya biashara sehemu zisizostahili na kuziba njia za watembea kwa mguu au biashara zingine maana kama yeye, wote hao wanajitafutia mkate wao wa kila siku.Samahanini wakuu kwa usumbufu.
Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.
Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?
Hivi taifa litakuaje baadae ?
Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,
Shubamiti.
View attachment 2739535
Usikute ana roga hapo ,nyie mnaona anaigizaSamahanini wakuu kwa usumbufu.
Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.
Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?
Hivi taifa litakuaje baadae ?
Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,
Shubamiti.
View attachment 2739535
Hapana, huyu jamaa ni kichaa wa siku nyingi, kwao ni Dodoma Mihuji nje kidogo ya mji na aliwahi kukaa Mirembe hospitali kwa muda wa miaka 3 na alipopata nafuu akatoka na akarudi kijijini kwao Kibaigwa.Usikute ana roga hapo ,nyie mnaona anaigiza
Hapo ni sehemu ya ukiaa wake au maigizo?Hapana, huyu jamaa ni kichaa wa siku nyingi, kwao ni Dodoma Mihuji nje kidogo ya mji na aliwahi kukaa Mirembe hospitali kwa muda wa miaka 3 na alipopata nafuu akatoka na akarudi kijijini kwao Kibaigwa.
Angekuwa amepona asingefanya alichokifanya ambacho kingeweza kusababisha ajali kwa watumiaji wengine.Hapo ni sehemu ya ukiaa wake au maigizo?
Pale yuko zebra, km chizi angekaa na kuoga popote tu, ila ok acha nikukubalie maana unasema unamjuaAngekuwa amepona asingefanya alichokifanya ambacho kingeweza kusababisha ajali kwa watumiaji wengine.
Umedownload Tiktok?Samahanini wakuu kwa usumbufu.
Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.
Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?
Hivi taifa litakuaje baadae ?
Kuna siku niliandika kuhusu TikTok ifungiwe ,machizi wakanishambulia sana ety ooh we mshamba unamapepo tokaa,
Shubamiti.
View attachment 2739535
Usikute ana roga hapo ,nyie mnaona anaigiza
Zebra si mahali pa kujisopusopu, unatakiwa upite bila kusimama.Pale yuko zebra, km chizi angekaa na kuoga popote tu, ila ok acha nikukubalie maana unasema unamjua
Kabisa na aache kuwonea wenzake wivuMbona imekaa poa tu! Tafuta hela bro...Acha majungu!!!
Hahahahaha,hiyo script mkuu,yuko katika scene,locationZebra si mahali pa kujisopusopu, unatakiwa upite bila kusimama.
Angeweza kutengeneza location bila kutumia barabara ya umma.Hahahahaha,hiyo script mkuu,yuko katika scene,location