Wanajifanya kutaka muda wowote watakao.MAPENZ SI UTUMWA!!!Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum
Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Mama J jana usiku kulikuwa na mechi ya mpira wa miguu kali sanaa..😉Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum
Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Kwann?
Wewe kama wewe ulikua una uamuzi gani mpaka sasa kabla hatujakushauri?Jibu ni samahan sirudii lkn shida ipo pale pale....
Una maneno yenye busara sana,unaona mbaliUtakuwa umeolewa na mtu ambaye si rafiki yako...
Kumbe nako kasumbufu kabinti haka...karukaruka tuUlifanikiwa kurudi chumbani mtoa mada?View attachment 2243025
Ila show za mida ya wanga ni tamu nyie🤣MWANANDOA MZIMA KABISA KIAFYA ANATAKIWA AWE TAYARI KWA TENDO MUDA WOWOTE ULE