Anna pita
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 227
- 426
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aidha kuchati na simu au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumbani, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingizi ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenzi saa hiyo umelala kama umekufa yaani hii ni Sawa jamani?
Kwanini tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwanini uje kulala saa 7 au 8