Hii imekaaje kwa wanandoa?

Sukariiiii ya wareeembooooo....!!! 😜😜

Salamu kwa Msafiri.

😁😁

Kasinde mzima wewe kipenzi cha roho cha babu...?

Hivi wewe hapo Kasinde huwa uchokozi unauanza muda gani kabla ya kipyenga kupigwa kuashiria ufunguzi wa mechi?
 
😁😁

Kasinde mzima wewe kipenzi cha roho cha babu...?

Hivi wewe hapo Kasinde huwa uchokozi unauanza muda gani kabla ya kipyenga kupigwa kuashiria ufunguzi wa mechi?


Mimi muda wote huwa nakuwa mchokozi...

Hata kazini nikimpelekea babu kipisi cha msuba nameambia umesahau kufunga zipu, akijishika na kukuta imefungwa au akiinama na kukuta haiko wazi lazima anishike titi au tako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Basi ujue usiku wake tutalala saa tisa alfajiri....πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‹
 

Mahari wazazi walipokea. Mbususu halali yake haijalishi ni usiku kiasi gani.

Wewe jukumu lako ni kutanua miguu na kumwaga mauno.
 
Na sisi tunaolala stoo tunacomment wapi? Maana chumba kimoja Kila kitu humohumo hadi ndoo na makopo ya chooni, maana si chumba Tena Bali ni stoo.
 
Nyumba ya kwangu usinipangie muda wa kulaka
 
Pole saaana kwa yanayokusibu,pambana mahari yako ilishaliwaaaa we pambana tyu sasaaaa
 
Inabidi ufurahi siku hizi anakusugua hata hiyo usiku wa manane, maana ulishasemaga anaweza kata mwezi mzima hajakugusa..
 
Kwa nini usibaki sebuleni na mmeo ukaanzisha uchokozi mkaenda chumbani, tatizo wanawake wengi mlio kwenye ndoa mnaona wanaume ndo tuna shida sana ya kufanya mapenzi so mnashindwa kujua majukumu yenu

Vicoba na michezo vimemaliza nguvu za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…