Atukuzwee
Senior Member
- Aug 6, 2017
- 125
- 239
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana.
1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa.
2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa kwake ananipa na ofa na yeye anafurahi sana badae akaja akaniambia nina bahati eti.. nikapotezea
3.Ostazi huyu alikua ana duka na ilifikia mahali mpaka nikawa siendi kununua kitu duka lingine nikagombana na mama.. cha ajabu nilivohama mtaa alifilisika badae nikaja kupanga kwa huyu ostazi maana alikua ni rafiki yangu akaniambia mwanangu una upepo wewe hujui tuu nikapotezea tena..
4. Nikienda duka la ndugu yangu ananipokea vizuri yeye na mke wake mapka nashanga wateja wanaongezeka mpaka aliniambia nisiende form six aniajiri Baba akagoma.. ila mpaka leo nikienda dukani kwako wananikaribisha kwa heshima.
5.Nina duka la mtaani kwangu hapa naweza nikaja nikanunua kitu cha ajabu wakaja watu sio chini ya watano wakanunua kitu kama nilichonunua hii sijui imekaaje? Mwenye duka ananipenda vibaya ila huyu hajaniambia kuwa nina upepo
Mfano hata nikiwa ofisini nikiagiza chakula au kitu flani na karibia watu wote wanaagiza hicho hicho mhh mpaka nashangaa sasa hii sijui imekaaje kuna ndugu yangu mwingine mwanza huyu nilimtajirisha mpaka leo aniambia niende ame ni miss atanilipa nauli na kila kituu?
Cha ajabu mimi nikifanya biashara nafeli vinaya nimeshapoteza sio chini ya 4million hakuna nilichopata.
Hii imekaaje