Hii imekaaje wakuu. Amhudumia mume wake aliyepooza kwa miaka sita, alivyopona akapewa talaka

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke mwingine.

Kwa kipindi hicho chote cha miaka sita, mwanamke huyo alijitolea kwa hali na mali kuhakikisha mumewe anapata matunzo ya kila siku ikiwa ni pamoja na kumlisha, kumsaidia usafi binafsi na kumhudumia katika hatua za mazoezi ya kurejesha afya (rehabilitation). Licha ya changamoto hizo, hakuwahi kuonyesha kuchoka wala kukata tamaa.

Hata hivyo, baada ya mwanaume huyo kurejea katika hali ya kawaida kiafya, aliamua kumpa talaka mkewe na kufunga ndoa mpya ndani ya kipindi kifupi cha wiki moja, hatua iliyosababisha mshangao, masikitiko na hasira kutoka kwa wananchi walioguswa na hadithi hiyo.

======================

A Malaysian woman, who dedicated six years to caring for her bedridden husband, was left heartbroken after he divorced her and quickly remarried following his recovery.

Nurul Syazwani, who married the man in 2016, served as his primary caregiver after he suffered a debilitating car accident two years into their marriage, which left him incapacitated for six years.

During this time, Syazwani provided unwavering support, handling daily tasks like feeding him through a nasogastric tube, changing his diapers, and assisting with bathing.

Despite her dedication, the man divorced her after regaining his health and remarried another woman just one week after the separation, prompting a wave of criticism from netizens who labelled him “ungrateful and heartless.”

Source: The Express Tribune
 
Mapenzi si biashara kwamba ukinihudumia lazima nisikuache.
 
aliona anachapiwa miaka 6 ujagusa chini
 
Mbona hawasema sababu ya jamaa kufanya hivyo. Usikute miaka yote hio mwanamke ana watoto wawili kabisa 😆
 
Huyo mwanaume kakosa utu, labda alihisi anachitiwa, kuna vitu aligundua, lakini je kwanini asingemuacha kipindi hicho hicho ahudumiwe na mwingine.

Kuna kisa kimoja nilisoma, uingereza huko, bosi alipewa figo na mfanyakazi wake, kipindi cha kujiuguza kilipoisha binti alizidisha siku sijui bosi akamfukuza mfanyakazi wake kazi kwa kuchelewa kazini.. kama itakuwa kumbukumbu zangu ziko sawa.
 
Wakuu,

Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke mwingine.

Kwa kipindi hicho chote cha miaka sita, mwanamke huyo alijitolea kwa hali na mali kuhakikisha mumewe anapata matunzo ya kila siku ikiwa ni pamoja na kumlisha, kumsaidia usafi binafsi na kumhudumia katika hatua za mazoezi ya kurejesha afya (rehabilitation). Licha ya changamoto hizo, hakuwahi kuonyesha kuchoka wala kukata tamaa.

Hata hivyo, baada ya mwanaume huyo kurejea katika hali ya kawaida kiafya, aliamua kumpa talaka mkewe na kufunga ndoa mpya ndani ya kipindi kifupi cha wiki moja, hatua iliyosababisha mshangao, masikitiko na hasira kutoka kwa wananchi walioguswa na hadithi hiyo.

======================

A Malaysian woman, who dedicated six years to caring for her bedridden husband, was left heartbroken after he divorced her and quickly remarried following his recovery.

Nurul Syazwani, who married the man in 2016, served as his primary caregiver after he suffered a debilitating car accident two years into their marriage, which left him incapacitated for six years.

During this time, Syazwani provided unwavering support, handling daily tasks like feeding him through a nasogastric tube, changing his diapers, and assisting with bathing.

Despite her dedication, the man divorced her after regaining his health and remarried another woman just one week after the separation, prompting a wave of criticism from netizens who labelled him “ungrateful and heartless.”

Source: The Express Tribune
Wote wawili wangetoa simulizi zao.Hatujui yaliyotokea kabla,kipindi na baada ya kuuguza mumewe.
 
Back
Top Bottom