KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,985
- 3,254
Mambo ya ndoani ni siri.
Isingekua rahisi kwa Mwanamke mwingine kukubali kuolewa na Mwanaume mwenye ugonjwa wa aina hiyo,Huyo mwanaume kakosa utu, labda alihisi anachitiwa, kuna vitu aligundua, lakini je kwanini asingemuacha kipindi hicho ahudumiwe na mwingine.
Ndio aone uzuri wa mwenzie, sababu kama kachiti sio kesi sana, mwili huenda ulikuwa unahitaji,Isingekua rahisi kwa Mwanamke mwingine kukubali kuolewa na Mwanaume mwenye ugonjwa wa aina hiyo,
Huyo Mwanaume alilitambua hilo,ndio maana akavumilia mpaka apone kwanza.
Ili ndio jibu sahihi, hawa wanawake ukiwa na shida watakusaidia kwa masimango, dharau za wazi, maneno ya kejeli, na misaada yao huwa imekaa kinafki sana, ndio maana wanaume wengi wanapokuwa katika kipindi cha kujitafuta huw wanakuwa wajinga na wapole kipindi hicho nasisi tunawacheck tu hawa wanawake wetu, kama atakuwa mkarimu na mwenye hekim katika kipindi kigumu hatuwezi kuwaacha lakini wengi huwa wanakuwa na dharau sana sasa siku ukipata ukikumbuka ujinga aliokuwa anafanya hakika huwa tunaamua kupiga chini na kuvuta chombo kipya.Pengine wakati Mwanaume anaumwa,huyo Mkewe alikua anachepuka na wanaume wengine,
ikabidi jamaa avumilie tu mpaka atakapo pona ndio achukue hatua stahiki.
Hawa wanawake si wakuamini ni kuwachakata na kupita kushoto, ukute alikuwa anawekewa mkuyunge mbele ya mmewe.Kuna namna maisha ya watu yana siri kubwa pengine aliesababisha ajali ya mumewe ni mke so aliona akifanya haraka kujifanya anajua mpango kitamlamba mapema so kavunga kama hajui kitu.
Huenda jamaa alitaka kufa ila mke akalazimisha kumtibiaMapenzi si biashara kwamba ukinihudumia lazima nisikuache.
Unaona sasa?Huenda jamaa alitaka kufa ila mke akalazimisha kumtibia
Zingatia alama za uandishi zilizotumika kwenye neno alimvumiliaAlimvumilia vipi hebu google jina Dali Mpofu kisha soma
Halafu fungua jina Stompie soma