Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Imani inahusu nafsi ya mtu (sio watu) mmoja na Mungu wake. Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Katika uislam hakuna ndoa kati ya muislam na asiekua muislam hao wanazini tu
 
Wapi nimesema hivyo?
Mambo ya ndoa ni mambo ya faragha ya mke na mume.

Kuanza kuchunguza ndoa za watu ni kutaka kuwaingilia kati.

Wao wana ndoa yao.

Wakiwezana wenyewe dini tofauti, sawa.

Wakishindwana, shauri yao.

Pilipili ya shamba wewe inakuwasha nini?
 
Mambo yao waachie wenyewe
 
Ushuhuda ni Yusuph Makamba na Mkewe.

Makamba Snr - Muslim na Mkewe Mkristo.

Kassim Majaliwa na Mkewe.

Kassim - Muslim
Mkewe -Mkristo.
 
Ile zone ina utawala wake haipangiwi yenyewe ina bendera yake, wimbo wake na hisia zake
 
Baba J na mkewe walikuwa mmoja mkristo mmoja mwislamu, walikuwa very peace mpaka huyo baba alivyoitwa na Mungu mwaka jana.

Ni makubaliano tu.
 
Uislamu unakataza ndoa na watu wanaomshirikisha Mungu.. Wakristo wanamshirikisha Mungu kwa kumuabudu kiumbe kuwa ndiye Mungu badala ya Mungu muumba Allah
Duuh unamaanisha makafiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…