Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
- Thread starter
- #41
Wapi nimesema hivyo?Kama wao wamekubaliana kukaa hivyo, wewe unataka kukaa katikati yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema hivyo?Kama wao wamekubaliana kukaa hivyo, wewe unataka kukaa katikati yao?
Asante kwa ufafanuziHamna ndoa kitendo cha kubadili dini Kwa mujibu wa uislamu na ndoa ndo imeishia hapo
Kwa hiyo wanaosali wote ni wajinga?Dini ni ujinga MKUU wa Binadamu
Mambo ya ndoa ni mambo ya faragha ya mke na mume.Wapi nimesema hivyo?
Uislamu unakataza ndoa na watu wanaomshirikisha Mungu.. Wakristo wanamshirikisha Mungu kwa kumuabudu kiumbe kuwa ndiye Mungu badala ya Mungu muumba AllahFafanua kidogo
Hiyo Ndoa imeletwa na nani?Ndoa ni unganiko la wawili wapendanao. Dini ni upuuzi tu made by a man
Mambo yao waachie wenyeweHabari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Ushuhuda ni Yusuph Makamba na Mkewe.Habari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Ile zone ina utawala wake haipangiwi yenyewe ina bendera yake, wimbo wake na hisia zakeHabari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Nileteeni sarafu yenu kwanza.Ya kaisari muachie kaisari ya Mungu mpe mungu!
ujinga gani wakati dini inatuliza mparanganyiko wa maadili katika jamii?Dini ni ujinga MKUU wa Binadamu
Duuh unamaanisha makafiri?Uislamu unakataza ndoa na watu wanaomshirikisha Mungu.. Wakristo wanamshirikisha Mungu kwa kumuabudu kiumbe kuwa ndiye Mungu badala ya Mungu muumba Allah
NimeelewaBaba J na mkewe walikuwa mmoja mkristo mmoja mwislamu, walikuwa very peace mpaka huyo baba alivyoitwa na Mungu mwaka jana.
Ni makubaliano tu.
Pamoja na Hao wasio na dini wanaoitwa makafiri hairuhusiwi kuoa au kuolewaDuuh unamaanisha makafiri?