Hii imekaaje wakuu? Yaani unakutana na demu faragha ila ili umwage unaanza kumfikiria demu mwingine

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana.

Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi.

Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
 
change style,sex with your lovely one,make sure your good psychologically also the environment!.. sasa wewe umekurupua kwenye shamba la muhogo huko unataka kutufua kizazi!,halafu msipende kufanya mapenzi na kila mtu chagueni kuweni na vitu vyenu.
 
Punguza kuangalia video za ngono, picha za utuputu
Pia jitahidi kupata muda mzuri wa kupumzika
 
Sio mademu Hawana stim wewe ndiye maraya na mpiga nyeto. Hata ukipata demu unaye mfikiria utajikuta naye hafai utafikiria mwingine ambaye huja Pata.
 
Haujatulia kaka unauhuni uhuni kifupi wewe ni dunga dunga
 
Bora wewe umeelewa nilichomaanisha..
Nadhani ni tatizo la kisaikolojia zaidi..
 
Kuna wanawake wakichoka hulazimisha mwanaume amwage.

Kisaikolojia mwanaume akilazimishwa kumwaga ndiyo kabisa bao halitoki , na hivyo akiendelea, inabidi avute hisia za Beyonce wa Marekani ili kutoa bao lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…