Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Hata ukienda kwa huyo unayemfikiria bado utamfikiria yule wa mwanzo uliyeshindwa kukojoa.Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana.
Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi.
Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
Tatizo ni wewe.
Acha kuangalia porn, acha nyeto. Kuwa na mpenzi mmoja unayempenda na anayekuvutia.